👹💔 WACHAWI WANAVYOIBA NGUVU ZA KIUME
🔴 Unajua wachawi wanaweza kuiba nguvu zako za kiume bila hata wewe kujua?
Hizi ndizo njia wanazotumia kuiba nguvu za kiume kwa wanaume:
1️⃣ Kupitia ndoto za zinaa
- Kuota unafanya mapenzi na mtu usiyemjua au mke/mume wa mtu.
- Unaamka ukiwa umechoka sana, hauna nguvu, unakosa hamu ya tendo.
2️⃣ Kupitia vyakula na vinywaji ulivyopewa
- Ukipewa chakula au kinywaji kilichologwa, nguvu zako za kiume hukauka taratibu.
3️⃣ Kupitia nguo zako za ndani
- Wakipata chupi au boxer zako, wanazifanyia uchawi wa kufunga mishipa ya nguvu zako.
4️⃣ Kupitia uchawi wa maji au kioo
- Wanakuroga kwa kutumia maji au kioo chenye uchawi, mishipa yako ya nguvu inafungwa na unakuwa dhaifu.
5️⃣ Kupitia majini au mizimu wachafu
- Wanatuma majini kufunga nguvu zako ili usifanikiwe kwenye tendo la ndoa au biashara zako.
⚠️ Dalili za kuibiwa nguvu za kiume na wachawi:
❌ Kukosa hamu ya tendo la ndoa ghafla
❌ Kufanya tendo kwa sekunde chache sana
❌ Maumivu chini ya kitovu au kiuno
❌ Uzito sehemu za siri au korodani
❌ Kuota ukilishwa au unafanya mapenzi na watu usiowajua
❌ Kuamka asubuhi ukiwa mchovu sana, hauna nguvu yoyote
🔮 Kumbuka:
➡️ Wachawi wakishaiba nguvu zako, hutumia kwa uchawi wa utajiri, nguvu za madaraka au kufunga nyota zako usifanikiwe kimaisha.
🗝️ Ujumbe wa Leo:
"Usikubali nguvu zako za kiume ziishe bure. Kila tatizo lina dawa. Tiba ya asili na kiroho hurejesha nguvu zako na kukulinda." 🌿
🙌 Mimi Dr Magowo
🌿 Mtaalamu wa tiba za asili, tiba ya kiroho, na lishe tiba.
📞 Kwa tiba na ushauri:
WhatsApp / Call:
0712 061 114 | 0695 087 673 | 0697 009 597
🔗 Jiunge na group au channel yangu upate elimu ya tiba kila siku:
🌐 Blog: drmagowo.blogspot.com
📲 Channel: Bonyeza Hapa Kujiunga
👥 Group: Bonyeza Hapa Kujiunga
✅ “Nguvu zako za kiume ni heshima yako. Linda na rejesha kwa dawa sahihi za asili.” ✨
No comments:
Post a Comment