🙏 MAGOTI – SEHEMU YA KUJINYENDA NA KUPELEKA MAOMBI! 🙏
Magoti si tu sehemu ya mwili, bali ni eneo la unyenyekevu, maombi, na kujitakasa kiroho.
Kupitia magoti, mtu huonyesha hofu, ibada, na kujitoa kwa Mungu au hata kwa nguvu za giza.
⚠️ JINSI WACHAWI WANAVYOTUMIA MAGOTI KIROHO
🔒 Kufunga magoti kiroho – mtu ashindwe kuomba au kujitakasa
🔗 Kufunga nafasi ya kuokolewa na kupona
🕸️ Kuweka minyororo ya uchawi ili mtu asifanye maombi yenye nguvu
🛑 Kufanya mtu aishi katika hali ya kushindwa, aibu na kuanguka mara kwa mara
DALILI ZA MAGOTI KUFUNGWA KIROHO
- Kuota magoti yamefungwa au kuwa na minyororo
- Kushindwa kusimama au kujiinua kiroho
- Kuishi maisha ya kushindwa na kuchelewa majibu ya maombi
- Kuota unajaribu kuomba lakini unaingia giza au huzuni
🔥 MAOMBI YA KUVUNJA MFUNGO WA MAGOTI KIROHO
"Ee Mungu wangu, vunja kila kamba na laana iliyowekwa juu ya magoti yangu. Nifungue njia ya kuombea kwa nguvu na kuishi huru katika roho na mwili."
📲 Tuma neno: "MAGOTI" kwa WhatsApp/Telegram
+255712061114
#MagotiKiroho #NguvuZaMaombi #VunjaLaana #Ukombozi #MaombiYaMoto
No comments:
Post a Comment