🌟 NGUVU YA MACHO KIROHO 👁️✨
(Imeandaliwa na Dr Magowo)
🔥 Je unajua kuwa macho yako yana nguvu kubwa ya kiroho?
Macho ni lango la nafsi (roho) na yana uwezo wa:
- Kupokea nuru ya kiroho au giza
- Kutambua viumbe vya rohoni (malaika au mapepo)
- Kutoa au kupokea nguvu (baraka au laana)
- Kufanya maombezi ya kuona mbali (spiritual discernment / kuona kinabii)
📍 DALILI ZA MACHO YALIYO NA NGUVU YA KIROHO:
✅ Unapowaangalia watu unajua hali zao za rohoni
✅ Unaweza kuona ndoto au maono ya ukweli
✅ Unaona ishara au alama usizofundishwa
✅ Unaona nuru au giza juu ya watu au maeneo
✅ Unaweza kusoma hali za kiroho hata bila kusema
⚠️ Lakini pia… Macho yanaweza kufungwa kiroho!
Watu wengi hawana maono wala uelewa wa rohoni kwa sababu:
❌ Walifungwa kiroho utotoni
❌ Walitazama picha au video chafu (roho za uzinzi)
❌ Walilaaniwa au kuguswa na watu wa giza
❌ Waliingia kwenye maagano au viapo vya ukoo
🔑 NAMNA YA KUFUNGUA NGUVU YA MACHO KIROHO
- Omba kutakaswa macho yako ya rohoni
- Jitakase kwa toba na kuachana na picha/vitu vya giza
- Omba Mwenyezi Mungu akupe macho ya maono na ufunuo
- Soma maandiko na tafakari kwa roho ya ufunuo
- Zuia macho yako kutazama yasiyompendeza Mungu (Ayubu 31:1)
🙏 Maombi ya Macho ya Kiroho
“Ee Mwenyezi Mungu, fungua macho yangu ya ndani niweze kuona kama watumishi wako wa zamani walivyoona. Sitaki kutembea gizani tena. Ninakata maagano ya giza yaliyofunga macho yangu. Fungua macho yangu ya rohoni. Amina.”
📲 Unahitaji:
- Mafunzo ya kuona rohoni?
- Ratiba ya maombi ya kufungua macho?
- Sauti ya maombi ya kufungua macho?
Tuma ujumbe WhatsApp au Telegram kwa:
📞 +255712061114
🧠 Imeletwa kwako na Dr Magowo
No comments:
Post a Comment