πΏπ₯ MUAROBAINI KIROHO – MITI YA KUTAKASA ROHO NA MWILI
π Angaza Nuru
Muarobaini siyo tu tiba ya magonjwa ya mwilini — ni silaha ya kiroho ya kuvunja uchafu wa ndani na kuondoa roho chafu zinazozuia maendeleo ya mtu.
"Majani ya miti yalikuwa ni kwa ajili ya kuponya mataifa."
– Ufunuo 22:2
✨ MAANA YA KIROHO YA MUAROBAINI:
✅ Hutakasa nafsi na damu ya ndani
π₯ Hufukuza roho za giza, uchawi na mizimu
π§Ή Husafisha mazingira ya kiroho ya mtu au nyumba
π©Έ Huvunja maagano ya damu na roho za zinaa
π️ Hufungua macho ya kiroho na kupandisha utambuzi wa ndani
π NJIA ZA KUTUMIA MUAROBAINI KIROHO:
π Osha uso au mwili kwa maji ya majani yaliyochemshwa
π Chemsha na oga usiku ukiomba utakaso wa roho na damu
π Tumia kunywa kidogo kwa siku 3 (siku ya asubuhi) kwa kutakasa nafsi
π Choma majani yake kavu ndani ya nyumba kwa harufu ya kiroho inayofukuza roho chafu
⚠️ KUMBUKA:
- Roho ya mtu inaweza kuchafuliwa kwa ndoto, maagano, au damu chafu.
- Muarobaini hufungua milango ya ndani iliyofungwa na giza.
- Utumie kwa imani na utulivu wa kiroho.
π² Kwa maombi maalum ya utakaso na funguo za mwili wa ndani,
Tuma ujumbe “MUAROBAINI KIROHO” kwa WhatsApp:
π +255 712 061 114
π Fuata Angaza Nuru kwa mafundisho ya mitishamba ya kiroho, maombi, na ukombozi wa kiroho.
No comments:
Post a Comment