Thursday, July 31, 2025

SIRI ZA MTI WA MBONO KIROHO

🌿 Dr Magowo 🌿

🔥 SIRI ZA MTI WA MBONO KIROHO 🔥

✅ Huvunja uchawi na vifungo vya rohoni
✅ Hutoa roho ya kaburi na kuzimwa kiroho
✅ Husafisha nyumba iliyo na vurugu za kipepo
✅ Huzuia wachawi kupenya kwa njia ya mti
✅ Hutumika kuandaa maji ya kuoga ya kujitakasa
✅ Majani yake huchomwa kama kinga na ulinzi

Mbono si tu mti, ni silaha ya asili kwa wanaojua siri zake!

🧿 Chemsha — Oga — Choma — Tafakari — Omba
🕊️ “Roho yangu haitazikwa, natoka kifungoni kwa jina la Mungu aliye hai!”


📌 Imeletwa na Dr Magowo
📍 Fuata: Angaza Nuru




No comments:

Post a Comment