Wednesday, July 30, 2025

DAWA & LISHE YA MGONJWA WA INI – NJIA YA ASILI 🛡️



🌿 DAWA & LISHE YA MGONJWA WA INI – NJIA YA ASILI 🛡️

Mgonjwa wa ini anahitaji tiba sahihi ya kimwili na kiroho. Sumu, mafuta, msongo wa mawazo, na uchawi vinaweza kuathiri ini na kuua taratibu bila kujua.


🌱 MITISHAMBA YA KUIMARISHA INI:

🟢 Mlonge – Husafisha damu na kuimarisha kinga
🟢 Mtukutu (Phyllanthus niruri) – Husaidia ini kujitakasa
🟢 Tangawizi – Hupunguza uvimbe na huchoma sumu
🟢 Holy Basil (Kivumbasi) – Huondoa maambukizi ya ini
🟢 Milk Thistle – Malkia wa kuponya ini (inapopatikana)


🥗 LISHE YA MGONJWA WA INI:

✅ Mboga za majani (mchicha, sukuma)
✅ Matunda safi (emebe, machungwa)
✅ Maji ya kutosha
⛔ Epuka pombe, mafuta mengi, na sukari nyingi


🙏 MAOMBI YA KIROHO:

Ee Mwenyezi Mungu, unitakase ini langu. Ondoa sumu, uchawi, na chuki iliyo ndani yangu. Nijaze uzima mpya wa mwili na roho. Amina.


📱 Kwa ushauri wa mitishamba na maombi ya uponyaji:
WhatsApp / Telegram: +255712061114
Dr. Magowo – Mlinzi wa Ukoo na Mponyaji wa Asili


🟤 Tumbo lako ni altare ya nguvu ya roho. Ukiweka lishe mbovu, unakaribisha udhaifu wa kiroho.
🔄 Shiriki Post hii kumponya mtu.



No comments:

Post a Comment