Wednesday, July 30, 2025

SIRI ZA UUME NA UKE KIROHO

 🌟 SIRI ZA UUME NA UKE KIROHO 🌟

Je, unajua kwamba uume na uke vina maana ya kiroho, si mwili tu?

Katika ulimwengu wa roho,
🔹 UUME si tu chombo cha uzazi – ni nguvu ya kutoa, kuanzisha, kulinda na kuongoza.
🔹 UKE si tu sehemu ya kupokea – ni uwezo wa kiroho wa kulea, kutunza, kupokea mbegu za maono na kuzizalia ushindi.

Lakini leo hii…
❌ Wengi tumenyonywa nguvu hii kupitia:
• Ngono haramu
• Ndoto za mapenzi
• Miungano mibaya ya kiroho
• Uchawi wa kizazi

👉 Ndipo mtu huanza kukauka kiroho. Hawezi kuzaa mafanikio, vipawa, wala maono ya Mungu.
👉 Wengine wamefungwa kabisa uume au uke wao kiroho – wanatamani, lakini hakuna kinachozaliwa!


🔥 LAKINI BADO KUNA TUMAINI!
Mwenyezi Mungu anaweza kurejesha uume au uke wako wa kiroho – usafishwe, utakaswe, na uwe na nguvu mpya ya kuzaa matunda ya rohoni.
Maombi yako yanaweza kuokoa kizazi chako!


🎧 Maombi ya Moto kwa ajili ya kurejesha uume au uke wa kiroho
📥 Inatumwa Telegram au WhatsApp: +255712061114

#UlinziWaKiroho #NguvuYaNdani #UumbajiWaKiroho #AngazaNuru #TobaNaMaombi #MaombiYaMoto

No comments:

Post a Comment