Wednesday, July 30, 2025

SEHEMU WAGANGA WA KIDJI WANAZOCHANJA CHALE KIROHO



⚠️ SEHEMU WAGANGA WA KIDJI WANAZOCHANJA CHALE KIROHO! ⚠️

Waganga wa jadi hutumia sehemu mbalimbali za mwili wako kuchanja chale kiroho ili:
๐Ÿ”’ Kufunga mafanikio yako
๐Ÿ”’ Kupunguza nguvu zako za kiroho na kimwili
๐Ÿ”’ Kuzuia uongozi na mwelekeo wa maisha yako
๐Ÿ”’ Kufanya maisha yako yawe magumu bila sababu


Sehemu kuu wanazotumia kuchanja chale ni:
๐Ÿ‘ฃ Miguu na vidole – Kuzuia kusonga mbele
✋ Mikono na vidole – Kufunga uwezo wa kutenda
๐Ÿง  Kichwa (paji la uso, utosini) – Kufunga akili na uongozi
❤️ Mioyo na mapaja – Kufunga hisia na upendo
๐Ÿ‘️ Macho – Kuficha maono na mwanga wa roho
๐Ÿ‘„ Midomo – Kufunga uwezo wa kuongea na kuonyesha imani
๐Ÿฆด Mgongo – Kupunguza nguvu za mwili na roho
⚫ Uume / uke – Kufunga uzazi na nguvu za kizazi


๐Ÿ”ฅ Lakini, una nguvu ya kuvunja kila kamba hii!

๐Ÿ› Omba maombi ya moto ya kuvunja chale na kila mlango wa uchawi
๐Ÿงน Takasa mwili wako kiroho, rejesha nguvu zako
๐Ÿ‘‘ Rudisha heshima na kibali chako kiroho na kimwili


๐Ÿ“ฅ Unataka maombi maalum ya kupona na kuondoa chale hizi?
Tuma neno: "CHALE"
๐Ÿ“ฒ WhatsApp/Telegram: +255712061114


#ChaleKiroho #VunjaLaana #NguvuZaMwili #UlinziWaKiroho #MaombiYaMoto #Ukombozi

No comments:

Post a Comment