π§ π JE, WAJUA KUHUSU JICHO LA TATU? ππ§
Jicho la Tatu si jicho la kawaida — ni lango la kiroho linalokupa uwezo wa:
✅ Kuona maono ya rohoni
✅ Kutambua mambo ya siri
✅ Kupata hekima ya ndani
✅ Kusikia sauti ya Mungu au kutambua roho mbaya
πLipo katikati ya paji la uso wako — lakini halifunguki kwa nguvu za giza, bali kwa maombi, utakaso, na kumtafuta Mungu kwa kweli.
⚠️ Usikimbilie kufungua jicho la tatu kwa njia za kichawi — linaweza kufungulia milango ya giza katika maisha yako.
π Njia salama za kulifungua:
✔ Tafakari ya Neno la Mungu
✔ Maombi ya toba na utakaso
✔ Funga kwa maombi na kujinyenyekeza
✔ Kuishi maisha ya rohoni yaliyo safi
π© Unahitaji kufundishwa hatua kwa hatua jinsi ya kulifungua kwa njia ya ki-Mungu?
π² Nitafute WhatsApp au Telegram: +255712061114
Imeletwa kwenu na Dr Magowo
No comments:
Post a Comment