🌿 Dr Magowo 🌿
🔥 SIRI ZA KIROHO ZA MCHENZA (MTOBOA NYOTA) 🔥
Mti wa mchenza (hujulikana pia kama msamvita au mkungu wa porini katika baadhi ya maeneo) ni mti wa kiroho unaotumika kwa kuvunja nguvu za wachawi, kuzuia mizimu mibaya, na kurudisha nyota iliyotobolewa. Wengi hawajui kuwa huu mti ni mlinzi wa nyota za asili.
🌌 TIBA ZA KIROHO ZA MCHENZA
✅ 1. Kuzuia Kuingiliwa Ndoto (Spirit Spouse / Jinamizi)
🌘 Watu wanaoota wakilawitiwa, kufunga ndoa na watu wasiowajua au kushikwa usiku.
🌿 Majani ya mchenza yakiwekwa chini ya mto au kitandani huku ukiomba, huunguza na kuzuia roho hizo zisije tena.
✅ 2. Kufukuza Roho Zinazofuatilia
👁️🗨️ Wapo wanaofuatwa na roho za familia, mizimu au wachawi.
🔥 Chemsha majani ya mchenza na uoge nayo kwa siku 3 hadi 7 huku ukitamka kuwa unavunja ufuatiliaji wa kipepo na kurudisha uhuru wako wa kiroho.
✅ 3. Kurudisha Nyota Iliyotobolewa
Nyota ya mtu inaweza kutobolewa kwa kutumia mti wa mchenza vibaya (ndiyo maana wachawi huutumia kama silaha pia).
🔁 Kwa maombi ya kugeuza madhara, tumia mti huu na utamke kurudisha nyota yako iliyochukuliwa kwa jina la Mwenyezi Mungu.
✅ 4. Kutuliza Roho Zinazozunguka Nyumbani
🏠 Ikiwa nyumba yako ina sauti usiku, vitu kuanguka, au ndoto mbaya zinajirudia:
🌿 Tundika matawi ya mchenza kwenye milango ya ndani na pembezoni mwa nyumba kwa siku saba na uombe utakaso wa kiroho.
✅ 5. Kuvunja Maagano ya Ukoo ya Giza
Watu waliokumbwa na maagano ya kifamilia yaliyotokana na ibada za mizimu au wachawi.
🩸 Tumia mzizi wa mchenza uliochemshwa na kuunganishwa na maombi ya maombi ya kuvunja maagano, ukinyunyizia mahali walipofanya agano (kama kaburi, miti ya ukoo, n.k.).
📖 Maandiko ya Msingi:
- Yeremia 1:10 – “Tazama nimekuweka juu ya mataifa na juu ya falme, kung’oa na kubomoa...”
- Zaburi 91:5-6 – “Hutaogopa hofu ya usiku, wala mshale urukao mchana…”
📌 Imeletwa na Dr Magowo
📍 Fuata: Angaza Nuru
No comments:
Post a Comment