πΏπ’ DAWA ZA ASILI KWA MAGONJWA MBALIMBALI (MITISHAMBA YA NGUVU)
“Asili huponya – tiba iko mezani kwako!”
1. KISUKARI (DIABETES)
Dawa: Majani ya mbilimbi, majani ya mlonge, na magome ya mpera
Matumizi: Chemsha majani hayo pamoja kwenye maji lita 1, kunywa kikombe 1×2 kwa siku (asubuhi na jioni)
2. SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA)
Dawa: Maji ya tangawizi, vitunguu saumu, na juisi ya parachichi
Matumizi: Saga vitunguu na tangawizi, kunywa kijiko 1×2 kwa siku
3. MAUMIVU YA KIUNO NA MGONGO
Dawa: Majani ya nanasi, tangawizi na mchai chai
Matumizi: Chemsha pamoja, kunywa chai mara 2 kwa siku kwa siku 5 mfululizo
4. TYPHOID (HOMA YA MATUMBO)
Dawa: Majani ya nanasi, embe, na papai
Matumizi: Chemsha pamoja, ongeza asali, kunywa kikombe 2 kwa siku kwa siku 7
5. VIDONDA VYA TUMBO
Dawa: Unga wa majani ya mlonge, asali, na mafuta ya nazi
Matumizi: Kijiko 1 cha unga wa mlonge + asali + kijiko cha mafuta ya nazi, mara 2 kwa siku
6. UTI (MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO)
Dawa: Majani ya mpera, majani ya papai, na habbat sawda
Matumizi: Chemsha, kunywa kikombe 1×2 kila siku kwa siku 3 hadi 5
7. KIKOHOZI NA MAFUA
Dawa: Tangawizi, limao, asali
Matumizi: Changanya juisi ya tangawizi na limao na kijiko cha asali, kunywa mara 2 kwa siku
8. KUKOSA NGUVU ZA KIUME
Dawa: Unga wa maca, ginseng, ashwagandha, na mtishamba wa Tongkat Ali
Matumizi: Kijiko 1 cha mchanganyiko huu na asali, mara moja kila asubuhi
9. FANGASI SEHEMU ZA SIRI
Dawa: Majani ya mpera au mwarobaini
Matumizi: Chemsha majani, tumia maji ya uvuguvugu kujisafisha mara 2 kwa siku
10. MINYOO TUMBONI
Dawa: Mbegu za maboga zilizokaangwa au unga wa msafi
Matumizi: Kijiko kimoja asubuhi kabla ya kula kwa siku 3 mfululizo
11. KUPUNGUZA TUMBO & MAFUTA MENGI
Dawa: Tangawizi, ndimu, mdalasini na asali
Matumizi: Chemsha tangawizi na mdalasini, ongeza ndimu na asali, kunywa kikombe kila asubuhi
12. KUKOSA USINGIZI (INSOMNIA)
Dawa: Majani ya mchaichai, mdalasini, na asali
Matumizi: Tengeneza chai ya majani hayo, kunywa dakika 30 kabla ya kulala
π Kwa Ushauri Zaidi na Maelezo ya Matumizi:
WhatsApp / Simu:
π² +255 712 061 114
π± Unahitaji dawa ya ugonjwa fulani ambayo haipo kwenye orodha hii? Niambie – nitakutafutia mchanganyiko sahihi wa mitishamba ya asili.
No comments:
Post a Comment