🕵🏾♂️ SIRI 7 ZINAZOFICHWA NA WAZUNGU KWA WAAFRIKA 🌍🔒
1. Nguvu ya Ardhi na Udongo wa Afrika
Wanaelewa ardhi ya Afrika ina mioyo ya kiroho, madini ya thamani na nguvu ya uzazi (fertility) isiyo kawaida. Wanaichukua kwa "miradi ya maendeleo", lakini kiuhalisia ni maagano ya damu na utawala.
2. Uwezo wa Kiafrika wa Kuona Kiroho
Wazee wetu waliweza kuona mapepo, kusikia sauti za rohoni, na kuomba mvua. Wazungu waliita haya "uchawi" wakatufundisha kuona haya kwa vipawa vyetu vya asili ili kutufunga kiroho.
3. Tiba za Asili Zenye Uhai
Mimea kama mtukutu, mlonge, mwarobaini, mkunazi, na uvumba ni tiba tosha kwa magonjwa mengi sugu. Wazungu wanayachukua na kutengeneza dawa ghali — huku wakisema mitishamba ni ya “kishenzi”.
4. Nguvu ya Majina na Asili ya Ukoo
Majina ya Kiafrika hubeba kusudi la kiroho. Walitutenganisha na ukoo, mila safi, na lugha zetu — ili tusijue sisi ni nani, tulikotoka, na tunachoachiwa na mababu.
5. Ulimwengu wa Ndoto
Ndoto ni njia kubwa ya kiroho kupata maagizo, maonyo na mafunuo. Wanaijua, lakini wanatufundisha "usiamini ndoto zako", ili usiwasikie wazee wa rohoni au sauti ya Mungu.
6. Nguvu ya Sauti na Muziki wa Kiafrika
Wimbo wa Kiafrika una nguvu ya kuitisha pepo au malaika. Sauti za ngoma na mitetemo ya ardhi vinaweza kufungua lango la rohoni. Lakini walikifanya muziki wetu uwe wa kufurahisha mwili, si kuamsha roho.
7. Maombi ya Asili, Sio Dini ya Kukopi
Tunaweza kuomba kwa Kiswahili, Kizaramo, Kigogo, au Kimasai, na Mungu husikia. Lakini tumeaminishwa tusali kwa lugha ya kigeni au mfumo wa kigeni, tukasahau kuwa tulikuwa na agano la Mungu kabla ya kuletwa kwa dini ya kisasa.
🔥 Muda wa Kuamka Umefika!
👉 Amka kiroho
👉 Tafuta asili yako
👉 Tambua kuwa kuna nguvu ndani yako ambazo hazihitaji msaada wa mzungu — bali kufufuliwa kiroho.
📌 DR MAGOWO
📲 WhatsApp / Telegram: +255712061114
Mlinzi wa Ukoo | Mpambanaji wa Siri za Kiroho | Tiba Asilia
🛡️ “Utajua kweli, nayo kweli itakuweka huru.”
🔄 Sambaza ujumbe huu, mfumbue macho ya mwafrika mmoja leo.
No comments:
Post a Comment