🌿 Dr Magowo 🌿
🔥 SIRI ZA KIROHO ZA MLIMAO (NDIMU/NDIMU KALI) 🔥
Mlimao si tu tunda la ladha kali — ni silaha ya kiroho inayotumika kusafisha, kuvunja, na kung’amua kazi za giza. Katika ulimwengu wa roho, mlimao una nguvu ya kuondoa uchafu wa kiroho, kusambaratisha uchawi, na kusafisha anga.
🌌 TIBA ZA KIROHO ZA MLIMAO
✅ 1. Kuvunja Uchawi wa Ndani ya Mwili
Wengi huumwa bila sababu za kitabibu. Wamewekewa uchawi kwa chakula au ndoto.
🍋 Chemsha maji ya mlimao kisha uyachanganye na chumvi na uoge nayo kwa maombi – husaidia kuvunja uchawi ndani ya damu, tumbo na mifupa.
✅ 2. Kutambua Kama Kuna Uchawi Nyumbani
Chukua mlimao mmoja mweupe, uuweke juu ya meza au sakafuni usiku mmoja.
👁️🗨️ Kama ukikauka, kukunjamana au kutoa usaha bila sababu, kuna nguvu ya giza iliyo kwenye nyumba hiyo.
✅ 3. Kuvunja Maagano ya Kipepo
Katika mila nyingi za kichawi, mlimao hutumika kufunga agano kwa kuuchoma au kuuzungusha.
🔓 Kwa maombi, unaweza kutumia mlimao kuvunja maagano hayo kwa jina la Mwenyezi Mungu, kisha kuutupa mbali kwenye mto au moto.
✅ 4. Kusafisha Mazingira Yenye Laana
Maji ya mlimao yanapotumika kuosha milango, madirisha na kona za nyumba pamoja na maombi, husaidia kufukuza roho za huzuni, vifo vya gafla, au ndoto mbaya za kurudia.
🏠 Fanya hivi kila mwezi mara moja.
✅ 5. Kuondoa Roho ya Kukataliwa, Hasira, na Vifungo
Roho ya kukataliwa mara nyingi huambatana na harufu ya kiroho isiyoonekana.
🍋 Maji ya mlimao huondoa harufu hiyo kwa ulimwengu wa roho, na kuvuta kibali mbele za watu.
📖 Maandiko ya Msingi:
- Isaya 1:18 – “Ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama damu, zitakuwa nyeupe kama theluji.”
- Waefeso 6:12 – “Kwa maana hatupigani dhidi ya damu na nyama, bali...”
📌 Imeletwa na Dr Magowo
📍 Fuata: Angaza Nuru
No comments:
Post a Comment