๐ฉ WACHAWI NA KINYESI: SILAHA YA AIBU NA KUHARIBU HATIMA ๐ฉ
Unadhani kinyesi ni taka tu?
Kwa wachawi, kinyesi ni sadaka ya uchafu, chombo cha aibu, na silaha ya kufunga maisha ya mtu kiroho.
Wachawi hutumia kinyesi kwa ajili ya:
๐ด Kufunga kibali chako
๐ด Kuharibu sura yako ya kiroho (watu wanakuona mchafu hata kama hujui)
๐ด Kukuondoa kwenye nafasi ya heshima
๐ด Kukufanya uishi maisha ya kukataliwa, fedheha, na aibu isiyoelezeka
⚠️ DALILI ZA KUWA UMESHAFUNGWA NA KICHAWI HIKI
๐ฉ Kuota unaoga kinyesi au unakula kinyesi
๐ฉ Kuota upo chooni au unajisaidia hadharani
๐ฉ Kuishi maisha ya kukataliwa bila sababu
๐ฉ Unapoteza kibali kazini, kwenye huduma au mahusiano
๐ Hii ni ishara kwamba jina lako, mavazi yako au sehemu ya mwili wako imechanganywa na kinyesi kwenye madhabahu za wachawi!
๐ฅ LAKINI UPO WAKATI WA KUVUNJA MADHABAHU HIZI!
๐ Omba moto wa Mungu uteketee kila madhabahu ya uchafu
๐งผ Omba utakaso wa jina lako, nafsi yako, na mwili wako
๐ Rejesha heshima yako, kibali chako, na utukufu wako wa rohoni
๐ฅ MAOMBI YA MOTO YA KUVUNJA UCHAWI WA KINYESI NA AIBU
WhatsApp au Telegram ๐ +255712061114
Utatumiwa audio ya maombi yenye moto na mwongozo wa kiroho.
#MadhabahuYaUchafu #UkomboziWaKiroho #KinyesiNaUchawi #LaanaYaAibu #NguvuYaMaombi #Jitakase #MaombiYaMoto
No comments:
Post a Comment