🌿 Dr Magowo 🌿
🔥 SIRI ZA KIROHO ZA MNAANAA (PEPPERMINT) 🔥
Mnanaa si tu mmea wa tiba ya mwili, bali pia ni silaha ya kiroho ya utakaso, ulinzi, na kuamsha fahamu za kiroho.
✝️ KIBIBLIA: Mnanaa kiroho hutumika kwa...
✅ Kusafisha hewa ya rohoni nyumbani
✅ Kuondoa roho za kukataliwa, huzuni, na giza la kiroho
✅ Kuimarisha maono, ndoto na mawasiliano ya kiroho
✅ Kutuliza moyo wenye huzuni na wasiwasi wa kiroho (Zaburi 23:3)
✅ Kurejesha nguvu za kiroho zilizoibiwa
Matumizi:
🔹 Chemsha majani ya mnanaa — tumia kuoga au kupulizia nyumba
🔹 Tengeneza mafuta ya mnanaa kwa maombi ya kujipaka
🔹 Tumia kwenye ibada za kujitakasa kiroho (hasa siku za jumatano na usiku wa manane)
🕌 KIISLAMU: Mnanaa hutumika kwa...
✅ Kuondoa hasad (wivu) na ain (jicho baya)
✅ Kutuliza nafsi kabla ya kuswali au kusoma Qur'an
✅ Kusafisha mazingira ya nyumba au biashara yenye husda
✅ Kuimarisha nguvu ya dhikr, istighfar na dua za usiku
Njia:
🔸 Changanya maji ya mnanaa na soma Suratul Falaq, Naas na Ayatul Kursiy
🔸 Fanya udhu, kunywa au jipake kabla ya kulala au kuswali Tahajjud
🔸 Choma mnanaa kavu kama udi nyumbani wakati wa adhuhuri au baada ya Maghrib kwa ulinzi wa kiroho
“Mungu ameweka tiba katika mimea — fahamu siri, tumia kwa maarifa.”
📍 Imeletwa na Dr Magowo
📍 Fuata: Angaza Nuru
No comments:
Post a Comment