🔮 MAFUTA YANAYOFUNGUA ROHO NA KUAMSHA NGUVU ZA KIROHO 🔮
Kwa walio na kiu ya kiroho, wanaotafuta kuona rohoni, kusikia sauti ya kiroho, na kuwa na maombi yenye moto wa rohoni.
🌿 1. Mafuta ya Frankincense (Umande wa Asubuhi)
Hufungua fahamu za kiroho, huondoa giza na hofu ya rohoni. Ni mafuta yaliyotumika hata nyakati za Biblia kwa ibada na sadaka takatifu.
🌿 2. Mafuta ya Myrrh
Huondoa roho chafu, huzuni na huzingua maeneo ya kiroho yaliyofungwa. Huweka utakatifu na kuweka roho kuwa karibu na Muumba.
🌿 3. Mafuta ya Lavender
Husaidia kutuliza akili, kuleta amani ya ndani na kuponya majeraha ya kiroho.
🌿 4. Mafuta ya Sandalwood
Huongeza uwezo wa kuona rohoni (maono), kusikia kiroho, na kufungua mlango wa ufunuo wa ndani.
🌿 5. Mafuta ya Mdalasini (Cinnamon)
Huchochea moto wa kiroho, huondoa baridi ya kiroho na uvivu wa maombi.
🌿 6. Mafuta ya Olive yaliyoombewa
Hutumika kwa upako, kuondoa roho chafu, kuweka ulinzi wa kiroho, na kurudisha nuru ya kiroho.
📖 Namna ya kutumia:
- Pakaa kidogo kwenye paji la uso, kifua au viganja kabla ya kuomba.
- Omba kwa bidii: “Mwenyezi Mungu, fungua roho yangu. Tafakari yako ikaingie ndani yangu. Nionyeshe yaliyo rohoni na nifunike kwa nuru yako.”
- Tumia wakati wa maombi, meditation, au unapotaka kupata ufunuo.
✨ Mafuta haya si uchawi, bali ni silaha za kiroho zinazosaidia kuunganisha nafsi na Muumba. Matumizi yake hutegemea usafi wa moyo na nia yako ya kiroho.
📲 Unahitaji mafuta haya au maombi ya kuyatakatisha?
Wasiliana nami:
WhatsApp: +255712061114
Telegram: @drmagowo
🕊️ Usiku wa kiroho huisha pale roho inapofunguliwa.
No comments:
Post a Comment