🔍 PAJI LA USO – SIRI YA ALAMA ZA KIROHO 🔍
Paji la uso ni zaidi ya ngozi! Kwenye ulimwengu wa roho, paji la uso ni sehemu ya "alama" na "utambulisho wa kiroho."
Ndipo jina la mtu huandikwa kiroho, na pia ndipo alama za maagano au laana huwekwa.
⚠️ WACHAWI HULITUMIAJE PAJI LA USO?
🔴 Kuweka alama ya laana ya familia – mtu anabeba mikosi ya ukoo
🔴 Kuweka alama ya kushindwa – hata akijitahidi, anakataliwa kila mahali
🔴 Kufuta uso wa neema – watu hawamtambui au wanamchukia bila sababu
🔴 Kuandika jina lisilo lake – mtu anaishi maisha ambayo si yake (kama aliyechukuliwa nyota)
🧿 DALILI ZA PAJI LA USO LENYE LAANA
❌ Kukataliwa kila sehemu bila sababu
❌ Kuota unawekewa alama au kuchorwa usoni
❌ Kukosa mvuto au kibali – hata unavyoongea watu hawakuelewi
❌ Kila unapoongea ukweli, watu huona kama uongo – jina lako linakosa nguvu
❌ Kuota uso wako umejaa matope, damu, au giza
🔥 MAOMBI YA KUVUNJA LAANA ZA PAJI LA USO
"Ee Mungu aliye hai, kila alama ya giza iliyoandikwa kwenye paji la uso wangu – naifuta kwa damu ya rehema! Ninavunja kila maagano yaliyoandikwa juu ya uso wangu. Natangaza uso wangu ujae nuru, neema na utukufu wa Mungu!"
📥 Unahitaji audio ya maombi haya kwa paji la uso?
Tuma neno: "PAJI LA USO"
📲 WhatsApp / Telegram: +255712061114
#PajiLaUso #AlamaZaKiroho #MaombiYaKibali #VunjaAgano #NguvuYaMungu #NeemaUsoni
No comments:
Post a Comment