πΏ DAWA ZA MITISHAMBA KWA MGONJWA WA FIGO π©Ίπ«
1. Mlonge (Moringa oleifera)
✅ Tiba:
- Juisi ya majani au supu ya unga wa mlonge husaidia detox ya mwili.
- Husaidia kupunguza shinikizo la damu linaloathiri figo.
2. Uvila / Mgunga (Acacia nilotica)
✅ Tiba:
- Chemsha magome yake, kunywa kikombe 1x kwa siku.
- Huchuja sumu kwenye damu na kulinda nephrons za figo.
3. Majani ya mchicha mwitu (Amaranthus spp.)
✅ Tiba:
- Husaidia kuongeza kiwango cha madini ya chuma na detox ya damu.
- Safi kwa wagonjwa wenye figo dhaifu.
4. Maji ya nazi π₯₯
✅ Tiba:
- Kikombe kimoja kila siku asubuhi.
- Husafisha figo na kusaidia kutoa mawe madogo ya figo.
5. Tangawizi na Kitunguu saumu
✅ Tiba:
- Chemsha pamoja, kunywa nusu kikombe mara 2 kwa siku.
- Huondoa sumu mwilini, hupunguza kuvimba na kuimarisha mzunguko wa damu.
6. Parsley (majani ya giligilani mbichi)
✅ Tiba:
- Saga majani na changanya na maji. Kunywa mara moja kwa siku.
- Ni natural diuretic — husaidia kutoa maji yasiyohitajika kwenye mwili.
7. Magome ya mtopetope (Annona senegalensis)
✅ Tiba:
- Chemsha na unywe kwa siku 5 mfululizo, kupumzika siku 2.
- Husaidia kutibu maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI) ambayo huathiri figo.
⚠️ Tahadhari Muhimu:
- Epuka chumvi nyingi, vyakula vya kusindikwa, na maji machafu.
- Kunywa maji safi ya kutosha (isipokuwa umeelekezwa kinyume na daktari).
- Usitumie dawa hizi bila kuchukua vipimo (kama creatinine na GFR).
- Dawa za mitishamba zina nguvu — zisitumike kiholela.
π² Unahitaji unga au mafuta ya mimea hii?
π¬ Wasiliana na Dr Magowo: +255712061114
π‘️ Figo ni lango la maisha – linda figo zako kwa tiba asilia.
No comments:
Post a Comment