💪 MABEGA – MGONGONI PA NGUVU NA MIZIGO YA MAISHA! 💪
Mabega ni msingi wa kuabeba mizigo ya maisha, majukumu, na pia nguvu za kiroho.
Katika ulimwengu wa roho, mabega ni sehemu ya kubeba masharti, majukumu, na hata mizigo ya uchawi.
⚠️ JINSI WACHAWI WANAVYOTUMIA MABEGA KUFUNGA NA KUCHANJA CHALE
🔒 Kufunga mabega kiroho — mtu ashindwe kubeba majukumu yake
🔗 Kuweka mizigo ya uchawi na laana zisizotamkwa
🛑 Kusababisha uchovu usioisha, uzito wa roho, na kufadhaika
👿 Kuanzisha minyororo ya kukosa nguvu na kuanguka mara kwa mara
DALILI ZA KUFUNGWA MABEGA KIROHO
- Kujihisi mabega yako ni mazito sana, hayasikii au kushindwa kusimama imara
- Kuishi na mzigo mkubwa usioeleweka au wa kishetani
- Kuota mabega yako yamefungwa au kuumia mara kwa mara
- Kushindwa kubeba majukumu ya maisha bila kuchoka
🔥 MAOMBI YA KUVUNJA LAANA NA KUCHAGUA NGUVU JUU YA MABEGA
"Ee Mungu wa rehema, vunja kila mlango, laana na minyororo iliyowekwa juu ya mabega yangu. Nipe nguvu ya kubeba majukumu yangu kwa furaha na mafanikio."
📲 Tuma neno: "MABEGA" kwa WhatsApp/Telegram
+255712061114
#MabegaKiroho #NguvuZaKiroho #VunjaLaana #Ukombozi #MaombiYaMoto #NguvuZaMungu
No comments:
Post a Comment