🌑 KUHUSU KUIBIWA NYOTA (AKILI)
📍 Ufunuo wa Kiroho – Dr Magowo
Kuibiwa nyota siyo tu kupoteza bahati — ni KUPORWA AKILI yako ya kiroho na kiakili.
Wachawi, mizimu na viumbe wa giza hulenga akili yako kwanza, kwa sababu:
"AKILI ni lango la kusikia sauti ya Mungu, kupokea maono, na kufanya maamuzi ya hatima."
Ukishaibiwa nyota, unakuwa kama mtu aliye hai kimwili, lakini amekufa kiakili.
⚠️ DALILI ZA MTU ALIYEIBIWA AKILI (NYOTA):
- Hutambui nafasi zako za mafanikio
- Unarudia makosa yale yale
- Unapoteza kumbukumbu ghafla
- Huoni mbali kiroho wala kimaisha
- Akili yako ina ganzi: huna maono, huna ndoto
- Unatumiwa kama chombo cha wachawi kwa sababu akili yako ya ndani imetekwa
👁️ KIINI CHA MAMBO:
Wakati mwingine sio kwamba hujui cha kufanya – ni kwa sababu akili yako imefunikwa giza.
Wengine walivua mavazi yako ya kiroho (ufahamu), wakavaa wao.
Walikuibia ndoto, mipango, na hata ubunifu.
🔥 SULUHISHO:
- Omba Mungu akurudishie NYOTA yako ya AKILI.
- Vunja maagano ya kiroho yaliyofunga akili yako.
- Sali dhidi ya giza la kiakili.
- Tafuta maombi ya kufungua “mind gates” zako.
🗝️ MAOMBI YA KUREJESHEWA AKILI:
📲 Tuma ujumbe “AKILI YANGU IRUDI” WhatsApp:
+255 712 061 114
Utapokea maombi ya moto ya kufungua akili ya kiroho na kurejesha nyota.
📚 Fuata Angaza Nuru kwa mafunzo ya ukombozi wa akili, roho na mwili.
No comments:
Post a Comment