🌿 HUJADHARAU NYASI HII?
Inaweza kuwa ndio dawa ya figo inayokutafuta!
🥺 Wengi huikanyaga, huipita bila kuitazama — lakini huko nje ya Tanzania, kilo moja ya mmea huu huu huitwa "Goose Grass" na huuzwa kwa milioni 7 TSH au zaidi!
🚨 Na si kwa sababu ya uchawi — bali ni kwa sababu ina nguvu ya ajabu ya kutibu magonjwa ya figo na kusafisha sumu mwilini.
🧬 TUZIJUE DALILI ZA AWALI ZA MAGONJWA YA FIGO:
🌡️ Kupungua au kukosekana kwa haja ndogo
🩸 Mkojo wenye damu (wakati mwingine mkojo mweusi au wa rangi ya chai)
😰 Miwasho isiyoeleweka
🥱 Uchovu wa mara kwa mara
🥴 Kuvimba uso, miguu, vidole nk
⚖️ Kupungua uzito bila sababu
⚠️ Watu wengi hufika hospitali wakati ni kuchelewa, ndipo wapewe dialysis au upandikizaji wa figo — matibabu ambayo ni gharama kubwa mno na hayapatikani kwa kila mmoja.
🕊️ Lakini kama utaziona dalili hizi mapema, na ukaanza kuchukua hatua za asili — unaweza kuokoa maisha yako kwa gharama ndogo au bure kabisa.
🌿 FAIDA ZA GOOSE GRASS (Nyasi ya Figo):
✅ Husafisha figo na njia ya mkojo
✅ Hutoa sumu ya mwili ndani ya siku 21
✅ Hutuliza maumivu ya ndani na ya viungo
✅ Husaidia uvimbe kwenye ovari
✅ Huondoa hatari ya saratani (anticancer)
🔬 MATUMIZI:
✅ Chukua mmea mzima (mizizi hadi majani)
✅ Osha vizuri
✅ Chemsha kwa dakika 15
✅ Opoa, kunywa kikiwa cha uvuguvugu
🥣 Kikombe 1, mara 2 kwa siku (asubuhi na jioni)
🎁 Unahitaji maelekezo ya kutambua mmea huu vizuri, kupatikana kwake, au kuchakatwa kitaalamu?
Wasiliana na Dr. Magowo:
📲 WhatsApp / Telegram: 0712 061 114
🌐 Blog: drmagowo.blogspot.com
📧 Email: drmagowo@gmail.com
💳 Unaweza kutuma vocha kusapoti huduma hii ya tiba asili na elimu ya afya kwa jamii.
🕊️ Mungu akubariki.
Asili Huponya.
– Dr. Magowo
No comments:
Post a Comment