๐ฆถ BUSHA (Mshipa) – Madhara na Tiba ya Asili Bila Upasuaji
Busha ni ugonjwa unaosababisha uvimbe mkubwa kwenye korodani kwa wanaume, miguu au sehemu za siri kwa wanawake.
⚠️ Madhara ya Busha:
✅ Kuvimba kwa korodani, miguu, midomo ya uke
✅ Maumivu makali sehemu iliyoathirika
✅ Kutojiamini na msongo wa mawazo
✅ Ulemavu wa kudumu ikiwa haitatibiwa mapema
✅ Ngozi kutoa harufu mbaya, vidonda na kutopona haraka
✅ Maambukizi ya mara kwa mara kwenye ngozi na mwili
๐ฟ Tiba ya Asili Bila Upasuaji
๐ถ Dawa za kunywa (Mchanganyiko wa mimea):
- Mbono kaburi – kuondoa uvimbe na sumu
- Mkole mwali & mkole bwambwa – kurekebisha mishipa na mfumo wa lymph
- Mkundekunde poli – kuua minyoo na kuondoa sumu
- Magome ya mbuyu – kuponya maambukizi na kuimarisha mwili
- Msipo – kusafisha damu na kupunguza uvimbe
- Majani ya mlonge – kuongeza kinga ya mwili
- Magome ya mkuyu – kutuliza uvimbe na maumivu
๐ Jinsi ya Kuandaa na Kutumia:
- Safisha mimea yote vizuri kwa maji safi.
- Kata vipande vidogo vidogo na changanya pamoja.
- Chemsha kwa maji ya kutosha hadi ibaki dawa yenye rangi na harufu ya dawa.
- Kunywa kikombe kimoja asubuhi na kingine jioni kila siku kwa siku 30 mfululizo.
๐งด MAFUTA YA KUPAKA (Massage ya kupunguza busha):
✅ Viungo:
- Mafuta ya mnyonyo (castor oil) – kupunguza uvimbe na kulainisha mishipa
- Unga wa tangawizi kavu – kufungua mishipa na kutoa sumu
- Asali ya nyuki – kuzuia maambukizi na kulainisha ngozi
๐ Jinsi ya Kutumia:
- Changanya kijiko 1 cha unga wa tangawizi kavu + vijiko 3 vya mafuta ya mnyonyo + kijiko 1 cha asali ya nyuki safi.
- Changanya vizuri hadi iwe laini.
- Paka sehemu iliyoathirika asubuhi na jioni, ukifanya masaji ya taratibu kwa dakika 10 – 15.
๐ Faida Zake:
✔️ Kupunguza uvimbe
✔️ Kuua minyoo na bakteria mwilini
✔️ Kurekebisha mzunguko wa damu
✔️ Kuimarisha kinga ya mwili
✔️ Kupunguza maumivu na uzito wa korodani/miguu
✔️ Kulainisha na kutibu ngozi
๐งผ Ushauri Zaidi wa Kiafya:
✨ Oga maji ya uvuguvugu kila siku
✨ Kula vizuri hasa mboga za majani na matunda
✨ Vaavua nguo safi na za pamba
✨ Tumia chandarua kinga ya mbu kila usiku
✨ Dumisha usafi wa mwili na mazingira
๐ฟ Kumbuka:
Hydrocele kubwa sana inaweza kuhitaji upasuaji. Tiba hizi za asili husaidia kupunguza uvimbe, kuua minyoo, kuimarisha kinga na kuzuia ulemavu.
๐ Kwa Ushauri na Tiba ya Asili Wasiliana:
๐ฑ WhatsApp / Call: 0712 061 114
✅ “Usikate tamaa, ugonjwa una dawa. Asili imewekwa kwa ajili ya uponyaji wako.” ๐ฟ
No comments:
Post a Comment