Wednesday, August 27, 2025

 Nsubata,kiganga huitwa "MAMAOMAKO"

ni dawa nzuri Sana hii 


MATUMIZI YAKE

1.Mizizi

-Hutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume,chemsha mizizi yake kunywa kikombe kidogo Cha chai kutwa mara mbili.

-Hutibu chango kwa akina mama chemsha kunywa kutwa Mara mbili.


2.Majani.

Hutibu mvurugiko wa hedhi kwa akina mama,kama wewe hedhi yako imepitiliza nenda asubuhi kwenye huu mti chukua majani yake kwa mdomo wako usichukue kwa mikono tafuna,fanya hivo kwa siku tatu Hadi tano mfulululizo utapona kabisa

-Hutibu kubemendwa kwa watoto wadogo,kama wewe mwanamke ama mwanaume umechepuka kabla kufika home kuonana na mtoto wako mdogo tafuna majani ya huu mti njoo nayo yakiwa kinywani mwako ukifika tema mkononi mpake mtoto mwili mzima hatabemendwa walahi,pia unaweza ukamuogesha majani yake kwa kuchmsha na kumnywesha.


3.Matawi 

Hutumika kama tiba ya meno,hung'arisha meno,husaidia meno kuwa imara,huondoa bakteria wabaya kinywani,kwa matokeo zaidi pigia mswaki kwa mti huu kila siku ukitumia ute wa mti wa mbono(Manyanga)

Utakuwa sawa.


Ndimi Msukuma wa Shinyanga Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Karibuni Sana kwa tiba za asili



ERY Herbal Clinic leo chukua hii,,, kwa wale wenye matatizo ya upungufu wa damu wachukua majani wachemshe wanywe maji yake kikombe kimoja asbuhi na jioni, siku3 hadi7, nenda kacheki damu, lazima uambewa sasa unatakiwa tukutoe damu ili uwasaidie wagonjwa.


Unafaida nyingi ninazo zijua za huu mti. Unaweza pia kutumia km kiungo ktk chai ya kila siku.



Kifua

Bawasiri

Majani yake ukichanganya na majani ya mti fulani,,H.I.V kwa heri...


kwenye mifupa na meno sawa lakn nguvu za naniliii mmmh


Pia husaidia usilishwe uchawi







Mmea unaoonekana kwenye picha ni Mdaha (Hausa: Goron Tula / Kiingereza African chewing stick / Kiswahili Mdaha wa kusukutulia meno). 


 Faida za Mdaha wa Kusukutulia Meno


1. Husaidia kusafisha meno na kuondoa mabaki ya chakula


Mdaha una nyuzi zinazofanya kazi kama brashi ya meno ya asili.


Hupenya vizuri katikati ya meno na kusafisha sehemu ambazo mswaki wa kawaida hushindwa.


2. Hupambana na bakteria wa kinywa


Unao uwezo wa kuua bakteria wanaosababisha harufu mbaya ya kinywa na kuoza kwa meno.


Unasaidia kuzuia kutuama kwa plaque na kutengeneza meno yenye afya.


3. Huimarisha fizi


Unapotafunwa, mdaha huipa nguvu fizi zako na kusaidia kuondoa uvimbe au maambukizi madogo.


Huzuia kutokwa damu kwenye fizi.


4. Hutoa harufu nzuri ya asili kwenye kinywa


Unapoutumia, hutoa harufu safi na ya asili inayofanya kinywa kuwa na ladha na harufu nzuri.


5. Huondoa rangi au mabaka kwenye meno


Matumizi ya mara kwa mara husaidia kuondoa madoa yaliyosababishwa na kahawa, chai au tumbaku.


6. Ni suluhisho la kiafya bila kemikali


Hauna viambato vya kemikali kama dawa nyingi za meno, hivyo hauna madhara kwa afya yako kwa ujumla.


7. Huchochea mate (saliva)


Kutafuna mdaha huongeza uzalishaji wa mate, ambao ni muhimu kuondoa bakteria na kulinda meno dhidi ya kuoza.


Ninapo uzungumzia huu mmea wasukuma,wasangu nazani munanielewa vizuri

Wednesday, August 6, 2025

 Kinga kubwa ya mwili aikai mwilini mwako Sababu ni raisi wachawi kuibomoa  sasa nakupa Kinga hii akuna mchawi atakaye kuroga au kukuua mpaka mungu apende  my name is kapilima spiritual kapilima wizard king of tree Tanzania Maarifa yangu  Dr kapilima  MBUI CHAWAGI  DAWA ZA ASILI  255656435959  0653 868 559  gongo la mboto mwisho daresalaam Tanzania 


Mti ni mmoja tu unatumika hapa  .

Mpururu au mkisi au mzimya 

Nenda kachimbe mizizi ya mashariki na magharibi  kabla ya kuchimba uzunguke mara 7 eleza Nia ya kuuchimba piga magoti jichanje kidogo damu dondoshea kwenye mti shinani 

Chumba mizizi Rudi nyumbani tupa jalalani siku tatu  baada ya hapo chukua kwangua Anika twanga pata unga  hapa dawa imekamilika  dawa hii tumia kuoga kwa manuizi wakati unaoga ndani ya maji weka kisu sindano wembe mkuki vimbo nk nuia kujikinga ukimaliza vile vitu vitoe nenda kaendelee na maisha yako majibu utayapata inshallah 

Karibu dukani kwetu ujipatie dawa za jumla na rejareja karibu ofisini kwetu kwa tiba na ushauri tunatuma dawa mkoani na nnje ya nchi kapilima the great 255656435959

 MNYONYO MNYONYO MNYONYO


1: Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k)


๐Ÿ‘‰๐ŸปTumia majani ya Mnyonyo kwa kuyapasha kwenye moto kisha unafunga eneo lenye maumivu, au pasha kisha sugulia kwenye eneo linalouma kama anayepasha mwili .Wakati huohuo ukiendelea na chai ya majani yake kikombe kimoja mara mbili au tatu kwa siku .Chemsha majani kwa dakika 15-20 kisha kunywa .


2: Kwa matatizo ya ini 

๐Ÿ‘‰๐ŸปKausha majani upate unga wake , tumia kama chai kwa siku 21 hadi 56


3: Kwa matatizo ya hernia- Mshipa wa ngiri

๐Ÿ‘‰๐ŸปTumia chai ya mizizi kwa kunywa kikombe 1 mara 3 kutwa .waweza pia fanya mizizi hiyo kuwa unga kisha kijiko kimoja cha chakula au vijiko viwili vya chai kwenye kikombe cha maji ya moto kila siku kwa siku 21 hadi 30.


4: Uume kusinyaa au kusimama legelege

๐Ÿ‘‰๐ŸปTumia mafuta ya mnyonyo kuchua uume wako kutoka kwenye mapumbu kuelekea kwenye kichwa. Tahadhari usijichue.Anza kwa kuchua kwa kitambaa safi cha pamba au chochote kisafi unakiloweka kwenye maji ya moto yasiyounguza sana kisha kanda uume wako polena taratibu kwa dakika 3,4 au 5 .Baada ya hapo tumia mafuta ya mnyonyo kuchua uume wako kutoka kwenye mapumbu kuelekea kwenye kichwa.


5: Maumivu ya maungio au viungo au joints 

๐Ÿ‘‰๐ŸปPaka mafuta kwenye mikono yako kisha pasha mikono yako kwenye makaa ya moto na kisha  kanda (chua) eneo lenye maumivu mara 2 kutwa...


5: Warts/ sundosundo/ Chunjua

๐Ÿ‘‰๐ŸปPaka mafuta ya mnyonyo eneo lenye sundosundo.. 


6: Matatizo ya macho

๐Ÿ‘‰๐ŸปTumia mafuta ya mnyonyo kama eye drop - tone 1 kwa kila jicho 


7: Kukosa choo - Constipation 


๐Ÿ‘‰๐ŸปWeka matone 2 ya mafuta ya mnyonyo kwenye maji ya moto kikombe 1 kisha kunywa  asubuhi na jioni .


๐Ÿ”ฅ  Angalizo hapa Kaa karibu na choo, FUSO itakata break, Dereva hataweza kuhimili usukani!


Ni mhimu sana kuwa na mafuta ya mnyonyo nyumbani kwako 


Namba ya kutuma sadaka yako ni 0675 166 945 majina ni James Mgonda 


Asili huponya

 *DAWA YA PID & UTI*


Viambata๐ŸŒฟ

1. Vitunguu swaumu 2

2. Vitunguu maji 3

3. Karafuu kijiko 1

4. Mdalasini kijiko 1

5. Karoti 2

6. Limao 2

7. Tangawizi 1

8. Binzari  1

9. Juisi ya ukwaju ½ lita 

10. Asali mbichi ½ lita


*Namna ya kuandaa*

- Tengeneza juisi asilia ya ukwaju, kwa kuloweka ½ kilo ya ukwaju kwenye maji ½ lita 

—Acha kwa masaa 6 hadi 12

—Chuja na upate  juisi yako


- *Osha na safisha viambata vyako vyote*

—Menya vitunguu swaumu

—Katakata vinguu maji

—Katakata karoti


- *Saga viambata vyako vyote kwenye blender, au twanga kwa kinu.*

—Chuja kwa kutumia kitambaa safi, kamua kabisa ubakishe makapi kavu.

—Baada ya kupata juisi yako, kamlia vipande vya limao.


*Matumizi:*

Kunywa vijiko vinne asubuhi mchana na jioni, kabla ya mlo.

*—Faida yake nyingine ni pamoja na: kuzibua mirija ya uzazi, kutibu fungus za za sehemu za siri, kutibu mshipa wa ngiri, kuongeza nguvu za kiume, kutibu ulcers, kubalansi presha, kuondoa chelosterol mbaya, n.k*


Mdharau asili hufa kikatili

Tuesday, August 5, 2025

 Siku ukiumwa HIV 

Usikimbulie kumeza dawa, kwanza kaa kama mwezi mzima unatumia juice ya kitungu swaumu + ukwaju.


Siku ukiumwa homa 

Usikimbilie kumeza dawa, kwanza kaa kama siku 5 kunywa chai ya majani ya mpera + mchaichai.


Siku ukiumwa malaria

Usikimbilie kumeza dawa, kwanza kaa kama siku 7 ukinywa kahawa.


Siku ukiumwa minyoo

Usikimbilie kumeza dawa, kwanza kaa kama siku 4 unasaga mbegu za mpapai + kitungu swaumu.


Siku ukiumwa homa ya ini

Usikimbilie kumeza dawa, kwanza kaa kama miezi 3 

> Acha pombe 

> Punguza uzito

> kula kachumbali kwa wingi

> Tafuna vitungu maji

> Chemsha Fologeba ndani ya wiki 1unapona

 Misombo kama Alkaloids, Terpenoids, chlorogenic acid, n.k iliyo katika mmea wa “Zanthoxylum fagara”, huufanya mmea huo kuwa na nguvu kubwa ya kuongeza kinga ya mwili

  

Hivyo basi, mmea huu ukiuchanganya na baadhi ya mimea unafuta kabisa maambukizi ya HIV-1 kwa sababu una sifa kuu ya kuongeza “phagocytic activity” yaani uwezo wa wa seli za kinga kumeza “vimelea hatari”


Mdharau asili hufa kikatili

 


“Cassia Abreviata”


Ukikuta mtu anajiita daktari wa tiba mbadala/asili na hana dawa inayotokana na mti wa “Acassia Abreviata” ujue tu kuwa huyo ni mwamafunzi wa tiba.


Mmea huu umethibitishwa kutubu magonjwa mengi sana ikiwemo HIV-1


Ni miongoni mwa mimea michungu๐Ÿ˜€ ila inatibu kwa haraka sana. Hapa nakuwekea baadhi ya faida zake.


1. Matatizo ya hedhi na uzazi kwa wanawake, Hususani wanawake waliotharika sana na kemikali za uzazi wa mpango.


2. Maralia Sugu; kuna watu wanasumbuliwa na maralia sugu, mmea huu huchanganywa na tangawizi na unatibu changamoto hiyo kwa siku saba tu.


3. Magonjwa ya ngozi, mmea huu unatibu magonjwa aina mbalimbali ya ngozi, hata kama ni mzio wa kuwashwa kila wakati hupona kabisa.


4. Husafisha damu, kama unaenda kupima na unaambiwa damu yako ni chafu ndiyo maana unapata vipele, majipu na kuwashwa mwili, mmea huu hukomesha kabisa hali hiyo kwa kuifanya damu kuwa safi.


5. Huimarisha misuli ya uume, kwa wale wanaume ambao misuli yao ya uume inaonyesha unyonge na wakati mwingine uume unakuwa unarudi ndani ya mwili kama unajificha, mmea huu huondoa kabisa tatizo hilo, kwani ni kiboko ya chango la kiume ambalo huchangia kusababisha hali hiyo.


6. Hutibu magonjwa ya ngiri: Mmea huu hupambana na chango linalosababisha mshipa wa ngiri kwa wanaume.


7. Kwa kuchanganywa na aina nyingine ya mimea, mmea huu hutibu magonjwa ya PID na kuondoa vimbe katika uzazi kwa wanawake.


Mmea huu unaweza kutumika pekee au kwa kuchanganywa na mmea mingine ili kuleta ufanisi zaidi kwa kuzingatia uwiano maalumu.


Unaweza kutumia mmea huu kwa kuchimba mzizi wake mbichi na kuuchemsha, halafu utatumia kwa kunywa mara mbili kwa siku, au kwa unga wa mizizi yake ulioandaliwa kwa ufanisi, nusu kijiko katika maji moto mara tatu kwa siku.


NOTE: Zingatia matumizi sahihi ya dawa kwa kupata ushauri kwa wataalam,jihadhari na matumizi yasiyo sahihi ya mitishamba na hakikisha unatibu tatizo unalolifahamu vyema.

 


“Hoslundia opposita” —una Bioactive componds zenye nguvu kubwa ya kutibu:-


✅Magonjwa yanayohusiana na HIV/AIDS  

✅Saratani ya matiti  

✅Kisonono (gonorrhea)  

✅Kaswende (syphilis)  

✅Appendicitis  

✅Kifafa (epilepsy) na degedege (convulsions)  

✅Malaria  


—Majani ya huu mmea ndiyo yana misombo hai kwa wingi inayoweza kumsaidia mtu mwenye virusi vya Ukimwi, hivyo basi haya majani yakichanganywa na baadhi ya mimea huweza kufuta kabisa HIV.


Mdharau asili hufa kikatili

 


Majani ya mmea wa thevetia peruviana yana misombo aina ya “flavanone glycosides” na “flavonol glycosides” ambayo imeonyesha uwezo wa kuzuia virusi vya HIV, hasa kwa kuzuia kazi ya “HIV-1 reverse transcriptase” na “HIV-1 integrase”


Mdharau asili hufa kikatili

 


Mshamako, kisayansi unaitwa “Bridelia macrantha”

 Ni miongoni mwa mimea iliyothibitishwa duniani kuwa na uwezo wa kufuta kabisa HIV.


Mdharau asili hufa kikatili

 “Zanthoxylum fagara”—ndilo jina lake la kisayansi,  hujulikana pia kwa majina kama *wild lime*, *Colima, Lime Pirickly-ash* au *toothache tree.* Wasukuma wanaita *Nsoma,* Ni mmea wa familia ya *Rutaceae* 


๐Ÿ’ฅMmea huu unatumika sana katika tiba za jadi sehemu mbalimbali za Afrika, na Amerika ya Kati na Kusini, kwa kuwa na sifa za kupambana na Malaria, bakteria, Saratani, pamoja na kutibu maumivu ya meno, anemia ya seli mundu (sickle cell anemia) na magonjwa mengine.


✅Zanthoxylum faraga una faida nyingi kiafya na una *misombo dawa* nyingi kama:- 


1. *Alkaloids* 

—Mfano *berberine, fagarine, nitidine* – huwa na shughuli za antimicrobial, anti-inflammatory, na anti-cancer.


2. *Flavonoids* 

—Hutoa antioxidant, hupambana na uchochezi mwilini.


3. *Lignans* 

—Hutoa kinga dhidi ya saratani na magonjwa ya moyo.


4. *Terpenoids & Coumarins* 

—Zina athari ya kupambana na bakteria na fangasi.

5. *Tannins* 

—Huzuia kuvuja damu na kusaidia kuponya majeraha.


6. *Essential oils* 

—Hutoa harufu kali, hubeba shughuli za antibacterial na kupunguza maumivu.


*Matumizi ya Jadi ya Kimatibabu:*


*1. Mizizi*

—Hutumika kutibu:

✅Malaria, 

✅Homa kali

✅Nguvu za kiume 

✅Siko seli

✅Kansa

✅Kuimarisha uzazi (mwanaume na mwanamke), 

✅Gonorrhea, 

✅Matatizo ya mfumo wa mkojo *(urethritis)*

✅Baridi yabisi (rheumatism)

✅Husaidia kutuliza *maumivu ya meno* (mizizi hutafunwa au kutumika kama mswaki/brushing stick).


*2. Magome (gome la shina)*

—Lina nguvu ya:-

✅Kupambana na bakteria na *fungi*.

—Hutumika kwa kutibu:

 ✅Kuharisha damu (dysentery)

 ✅Minyoo tumboni

✅Maambukizi ya meno na fizi

 ✅Kuchochea uchungu wakati wa kujifungua


*3. Majani*

—Majani yaliyosagwa hutumika kutibu:

 ✅Vidonda vya macho (conjunctivitis)

 ✅Uvimbe

✅Maumivu ya viungo

  ✅Kuharisha na *tumbo la kujaa gesi*

✅Pia huchanganywa kwenye maji ya kuoga kutuliza uchovu au *kupunguza homa*.


*4. Mbegu*

—Mbegu huweza kutumika katika matibabu ya

✅Kizunguzungu, au hata kama *kichocheo cha mfumo wa fahamu*.

✅Pia zinaweza kuchanganywa na mafuta kama *dawa ya kupaka kwenye majeraha au ngozi yenye fangasi.*


*Mwisho* 

Huu mmea ukiuchanganya na baadhi ya mimea unafuta kabisa maambukizi ya HIV-1 kwa sababu unaongeza kinga kwa haraka na una sifa kuu ya kuongeza *“phagocytic activity”* yaani uwezo wa wa seli za kinga kumeza *“vimelea hatari”*


Mdharau asili hufa kikatili

 


“Zanthoxylum fagara”—ndilo jina lake la kisayansi,  hujulikana pia kwa majina kama *wild lime*, *Colima, Lime Pirickly-ash* au *toothache tree.* Wasukuma wanaita *Nsoma,* Ni mmea wa familia ya *Rutaceae* 


๐Ÿ’ฅMmea huu unatumika sana katika tiba za jadi sehemu mbalimbali za Afrika, na Amerika ya Kati na Kusini, kwa kuwa na sifa za kupambana na Malaria, bakteria, Saratani, pamoja na kutibu maumivu ya meno, anemia ya seli mundu (sickle cell anemia) na magonjwa mengine.


✅Zanthoxylum faraga una faida nyingi kiafya na una *misombo dawa* nyingi kama:- 


1. *Alkaloids* 

—Mfano *berberine, fagarine, nitidine* – huwa na shughuli za antimicrobial, anti-inflammatory, na anti-cancer.


2. *Flavonoids* 

—Hutoa antioxidant, hupambana na uchochezi mwilini.


3. *Lignans* 

—Hutoa kinga dhidi ya saratani na magonjwa ya moyo.


4. *Terpenoids & Coumarins* 

—Zina athari ya kupambana na bakteria na fangasi.

5. *Tannins* 

—Huzuia kuvuja damu na kusaidia kuponya majeraha.


6. *Essential oils* 

—Hutoa harufu kali, hubeba shughuli za antibacterial na kupunguza maumivu.


*Matumizi ya Jadi ya Kimatibabu:*


*1. Mizizi*

—Hutumika kutibu:

✅Malaria, 

✅Homa kali

✅Nguvu za kiume 

✅Siko seli

✅Kansa

✅Kuimarisha uzazi (mwanaume na mwanamke), 

✅Gonorrhea, 

✅Matatizo ya mfumo wa mkojo *(urethritis)*

✅Baridi yabisi (rheumatism)

✅Husaidia kutuliza *maumivu ya meno* (mizizi hutafunwa au kutumika kama mswaki/brushing stick).


*2. Magome (gome la shina)*

—Lina nguvu ya:-

✅Kupambana na bakteria na *fungi*.

—Hutumika kwa kutibu:

 ✅Kuharisha damu (dysentery)

 ✅Minyoo tumboni

✅Maambukizi ya meno na fizi

 ✅Kuchochea uchungu wakati wa kujifungua


*3. Majani*

—Majani yaliyosagwa hutumika kutibu:

 ✅Vidonda vya macho (conjunctivitis)

 ✅Uvimbe

✅Maumivu ya viungo

  ✅Kuharisha na *tumbo la kujaa gesi*

✅Pia huchanganywa kwenye maji ya kuoga kutuliza uchovu au *kupunguza homa*.


*4. Mbegu*

—Mbegu huweza kutumika katika matibabu ya

✅Kizunguzungu, au hata kama *kichocheo cha mfumo wa fahamu*.

✅Pia zinaweza kuchanganywa na mafuta kama *dawa ya kupaka kwenye majeraha au ngozi yenye fangasi.*


*Mwisho* 

Huu mmea ukiuchanganya na baadhi ya mimea unafuta kabisa maambukizi ya HIV-1 kwa sababu unaongeza kinga kwa haraka na una sifa kuu ya kuongeza *“phagocytic activity”* yaani uwezo wa wa seli za kinga kumeza *“vimelea hatari”*


Mdharau asili hufa kikatili

 


“Sesamum indicum”—majani yake yana nguvu kubwa ya:-


✅Kutibu utasa kwa wanaume (male infertility)

✅Majeraha ya ngozi/michubuko

✅Kupambana na virus aina papylona (HPV)

✅Vidonda vya tumbo

✅Magonjwa ya mfumo wa neva

✅Matatizo yote ya tumbo


—Nikumegee tu siri kidogo, haya majani ya ufuta ukiyatumia vizuri kwa kuchanganya na mimea mingine, yanafuta HIV moja kwa moja.


Mdharau asili hufa kikatili

 


“Phyllanthus niruri”—ndilo jina lake la kisayansi, maarufu kwa jina la Mzalia nyuma, mmea huu una “phytochemicals” kama “Lignans” iliyo na “Phylanthin na Hypophyllanthin” ambazo zimethibitika kuwa na uwezo wa kulinda Ini (hepatoprotective) na pia kuthibiti  virusi vya hepatitis B kwa kuzuia urudufu (replication) wa virusi hivyo.


Kwa tafiti za hivi karibuni, mmea huu umegundilika kuwa na polyphenol aina ya “Geraniin” yenye uwezo mkubwa wa kuzuia maambukizi ya HIV


Vilevile misombo kama Ellagic acid iliyo katika mmea huu, ina nguvu kubwa ya antioxidant na antiviral—inasaidia seli kujilinda dhidi ya uharibifu unaosababishwa na virusi.


Kiufupi huu mmea una polychemicals nyingi, na ukiutumia vizuri kwa kuchanganya na baadhi ya mimea kwa hakika hautaishia kupona Hepatitis B peke yake, bali utapona kabisa hata HIV


Mdharau asili hufa kikatili

 


Mbegu za ukwaju dawa ya HIV๐Ÿ”ฅ


Mdharau asili hufa kikatili

 


Mimea yenye uwezo wa kufuta kabisa HIV


Acacia nilotica

Erythrina abyssinica

Cassia abreviata

Bridelia micrantha

Red jatropha

 

Asante sana kwa ujumbe mzuri wa kuelimisha. Sasa naeleza maana ya ujumbe wako pamoja na maana ya #NurseHappy:


๐Ÿงพ Maana ya Ujumbe Wako kwa Kiswahili:

Dalili za Awali za Ukimwi (HIV):
Ujumbe huu unaeleza dalili za mwanzo ambazo mtu anaweza kuanza kuzipata akiwa ameambukizwa virusi vya Ukimwi (HIV), ambazo ni pamoja na:

  1. Kichwa kuuma
  2. Uchovu usio wa kawaida
  3. Kutokwa jasho usiku
  4. Maumivu ya misuli au viungo
  5. Kuvimba kwa tezi (lymph nodes)
  6. Maumivu ya koo
  7. Homa
  8. Kupungua uzito bila sababu

Uchovu wa HIV (HIV Fatigue):
Uchovu ni hali ya kuchoka kupita kiasi ambayo haitulizwi na kulala tu. Kwa wagonjwa wa HIV, uchovu unaweza kusababishwa na:

  • Kutolala vya kutosha
  • Msongo wa mawazo
  • Upungufu wa damu (anemia)
  • Maumivu ya mwili
  • Mabadiliko ya homoni
  • Unyogovu

Mapele ya HIV (Rashes):
Mpele unaweza kutokea mapema baada ya kuambukizwa. Lakini pia unaweza kusababishwa na:

  • Maambukizi mengine
  • Dawa za kutibu HIV

Mabadiliko ya Mdomoni (Mouth Rashes):
HIV huweza kuathiri mdomo mapema. Dalili ni:

  • Kukauka kwa mdomo
  • Magonjwa ya fizi
  • Vidonda au vipele
  • Vidonda vya mdomoni

⚠️ Kama una dalili hizi, nenda hospitalini mapema kwa uchunguzi na matibabu.


๐Ÿท️ Maana ya #NurseHappy

Hii ni hashtag ya kutambulisha mtayarishaji wa ujumbe huu — "Nurse Happy", yaani Nesi Mwenye Furaha au Nesi Mchangamfu. Ni jina la utambulisho la mtoa elimu ya afya, linaloonyesha mtazamo wa huruma, matumaini, na kutoa huduma kwa furaha kwa wagonjwa.


Ujumbe wako ni mzuri sana kwa elimu ya jamii.
Ungependa niutengenezee kama poster ya elimu ya afya au video fupi yenye sauti yako au yangu? Pia naweza kuandaa lugha rasmi au ya kitaalamu ya matibabu kama unataka kuutumia hospitalini au kwenye kampeni ya afya.

 


Kiboko ya HIV/AIDS 


Mmea unaitwa Artemisia annua


Wagonjwa mumuone @Dr Ilakoze 0625 522 505 


Asili huponya

 


WAGONJWA WA HIV/AIDS wangefanya mmea huu kuwa rafiki yao.Ikiwa wangetengeneza juisi ya majani yake wakafanya zoezi la kunywa  kila mara hata mara 3 kwa siku  wangehisi mambo ya ajabu sana mwilini.


Dandelion ni mmea ambao umeponya wengi kwa habari ya saratani unayoijua wewe.Juisi ya miziz yammea huu ni kizuizi kikubwa cha ugonjwa wa saratani. Wengi wamepona kwa kutumia mmea huu.


Karbu kwa somo zima sasa.


๐Ÿ“๐Ÿ“ LEO NIZUNGUMZIE KITU KINAITWA DENDELION .


Dr. Ilakoze

0625522505. 


PIA UNGA WAKE  UNAPATIKANA KWETU OFSINI


 DANDELION kwa Jina la kisayansi unafahamika kama  (Taraxacum Officinale)  Maarufu kama Mmea unaofaa kwa kuimarisha mifupa ya mwili !!!  Umetumika karne na Karne katika kutibu magonjwa Mbali mbali ...!!!


 ๐Ÿ“ Dandelion ni mmea jamii ya mchunga na si mchunga kama wengi wanavyodhania ,  Ni mmea wenye faida nyingi kwa binadamu...


๐Ÿ“ Mmea huu asili yake ni ulaya na huko mashariki ya mbali India. Na hapa Tanzania hupatikana porini na majumbani kama maua...


๐Ÿ“ Na wenyeji wa Tanga, Pemba, Unguja na Mombasa (Kenya) huiita kwa jina la tumbaku ya wazuka.... !!!


 ๐Ÿ“ Dandelioni ina chumvi nyingi ambayo ina faida kwa kiwiliwili (mwili) cha binadamu na vilevile ina vitamin A, B, C,K,E ina protin, mafuta, wanga, chuma, calciaum, phosphorus, Magnesium, sodium, carotene a&b, Iron,  potassium,selenium Thiamine, (B1), Riboflavin (B2) kuwemo kwa madini mengi ya asili ya magnesium ndiko kunakofanya mmea huu kuwa muhimu katika kuimarisha mifupa ya mwanadamu ..


 ๐Ÿ“ ukitengeneza  juisi ya majani au miziz ya danselion Inafaa sana kwa matatizo ya  mifupa. Na juisi yake ikichanganywa na juisi ya karoti ndiyo inafaa sana yaan inakuwa nzuri vibaya mno . Ni dawa nzuri sana kwa ini kwani husaidia ini kufanya kazi yake vizuri na kutoa sumu zanye madhara zilizoingia mwilini ....


 ๐Ÿ“ Kama nilivyosema hapo juu kuwa inajulikana kwa kuimarisha mifupa , kwa sbb gani ,kwa sabb  Dandelion ina kalsiamu nyingi, ambayo ni muhimu kwa ukuaji wa mfupa , lakini pia ina antioxidants kama vile luteolin na vitamini C ambayo huzuia mifupa kuharibika kutokana na radicals bure (free radicals)


 ๐Ÿ“ Huweka sukari sawa ndani ya mwili 


Ukitengeneza Juisi ya dandelion ukampa mtu mwenye kisukari ,  huchochea uzalishaji wa insulini kutoka kwa kongosho kwa kuweka kiwango cha chini cha sukari ya damu lkn pia  Inaboresha urination ambayo huondoa sukari ya ziada kutoka kwa mwili. Kwa maana hyo , kunywa juisi ya dandelion kunaweza kuzuia spikes hatari  kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari...


 ๐Ÿ“ Dandelion pia  hutumika kama dawa ya Romatizim (Rheumatism) kukosa damu (Anemia), matatizo ya mkojo, chunjua (warts), matatizo mengi ya mwili figo,  n.k


Unaweza ukaitumia kwenye saladi, supu na chai kwa ajili ya kuboresha afya yako !!!


๐Ÿ“Mizizi yake kama itatumika kwa uangalifu kwa muda mrefu yaweza kuleta msawazo wa kihomoni,hivyo kama uko na hormonal imbalance na PCOS, anza leo kunywa chai yake.


 ๐Ÿ“ Utomvu wa dandelion husaidia kutibu magonjwa ya ngozi ambayo ni matokeo ya maambukizo ya fungal na microbial...


Kwa sbb Utomvu una alkali nyingi na una mali ya kuua wadudu, germicidal na fungicidal. 


๐Ÿ“Utomvu huo unaweza kutumika kwenye magonjwa ya  ukurutu, upele, kuwasha na hali zingine za ngozi 


Bila kusahau Juisi ya Dandelion ni diuretic nzuri, detoxifier, antioxidant, na kichocheo ambacho kinafaa kwa watu wenye  chunusi...


๐Ÿ“ Vile vile  Juisi ya Dandelion husaidia kuregulate  homoni kwa kuongeza jasho na kufungua pores. Hii husaidia kuondoa sumu kwa namna ya mkojo na jasho...


 Kwa Matumizi ya  nje ya dandelion kama kuoga maji yake  huzuia maambukizi ya microbial na huondoa  chunusi, Vitamini C ktk  dandelion pia hufanya  mchakato wa uponyaji wa vidonda . kuvimba na makovu kupona haraka


 Ukichukua Mizizi ya Dandelion ukaichemsha  huua 92% ya seli za saratani (kansa) 


Hkiwa na 

Saratani ya utumbo mpana

Saratani ya damu

Saratani ya kongosho

Saratani ya ngozi

Saratani ya Tezi Dume 


Chukua Mizizi ya dandelion ya kutosha ,kisha chemsha   unywe kikombe cha chai mara 2 kwa siku...


kama una vidonda vya kansa ,ponda ponda mizizi yake changanya na majani yake weka sehemu hiyo huku ukiendelea kutumia Chai ya mizizi hiyo ...!! baada ya mda .da utaona mabadiriko au kupona kabisa

Mzizi ya Dandelion mimi huwa naiita  Detox ya Asili , Na hapa natengemea kutengeneza detox ya watu waliowahi kuchanja chanjo ya covid 19 ili waweze kuondoa sumu ,mojawapo ya mmea nitakaouweka ni huu Dandelion 


Faida ya Mizizi yake !!


 Kisafishaji ini - huondoa sumu

Diureti ya asili ( Natural diuretic) - inasaidia kazi ya figo

Kuwa na Kiasi kikubwa cha madini ya chuma - ni nzuri katika kupambana na upungufu wa damu

  inasaidia mzunguko wa damu mwilini 

IInaimarisha ngozi na kuifanya kuwa safi na yenye kung'aa


Matumizi 

weka kijiko kidogo kwenye  chai yako au tincture , Tjmia kwa siku 7 hadi 14 utaona maajabu


 ๐Ÿ“Dandelion ina nyuzinyuzi nyingi ambazo husaidia usagaji chakula na kuweka  afya nzuri ya tumbo (wale wenye changamoto ya tumbo hii inawafaa sana)...


 Kama una tatizo la kutokupata choo , unakula ila choo huendi basi huu mmea unakufaa sana  . na kama huna hamu ya kula tumia mmea huu utapata hamu ya kula ...


 Kwa aina yoyote ya  saratani (cancer)  tumia mimea hii miwili ...


Majani ya stageri  na  Mmea mzima wa  dandelion..


Mimea hii  inaua  seli za saratani kuliko chemotherapy au tiba yeyote ya  mionzi unayopenda...


 pia hata kama huna kansa unaweza itumia kama kinga 


Chukua vijiko viwili vya unga  wa mstaferi na dandelion , weka  100ml kwenye  maji ya moto...


kunywa mara 2-3 kwa siku ..


 Nimechoka kuandika 

magonjwa mengine ambaho mmea huu unaweza kutibu 


HIV/AIDs, Liver , hepatitis, enlarged liver, Arthritis, boost immunity, lower blood pressure, Aids weigh loss  ,Blurry Vision


Kwa Leo Tuishie hapo !!...!!!!!


Wanaotaka dawa iliyoandaliwa bei zake 


■■Ukichukua chupa 5  ni Tsh 20,000/=


■■Ukichukua chupa 1 ni Tsh 15,000/=


  ■■ Ukichukua chupa 10 ni Tsh    12,000/=

Mawasikiano

0744 001 306 

0675 166 945 

0625 522 505 

Dr Ilakoze 


Asili huponya

Saturday, August 2, 2025

SIRI ZA ABDJADI – MILANGO YA MAARIFA YA MBINGU NA ARDHI

 



๐Ÿ“œ SIRI ZA ABDJADI – MILANGO YA MAARIFA YA MBINGU NA ARDHI


✍๐Ÿฝ Imeandikwa na Dr Magowo

๐Ÿ“ฃ Imeletwa kwenu na: FOLLOW ๐Ÿ‘‰ Angaza Nuru



---


ABDJADI si tu alfabeti ya Kiarabu – bali ni safu ya kiroho ya namba, sauti, na tafsiri za mbinguni. Wenye hekima na wachawi walificha maarifa ndani ya kila herufi!


๐Ÿ”‘ Kila herufi ni mlango

๐Ÿ”‘ Kila namba ni agano

๐Ÿ”‘ Kila sauti ni mtetemo unaofungua ama kufunga



---


๐ŸŒŸ MFANO WA ABDJADI:


1. Alif (ุง) = 1 = Chanzo, muanzo, nuru ya kwanza



2. Ba (ุจ) = 2 = Kivuli, jicho la siri, mwanzo wa ufunuo



3. Jim (ุฌ) = 3 = Muunganiko wa mwili, roho na nafsi



4. Dal (ุฏ) = 4 = Milango ya dunia nne, maumbile ya mwanadamu




Na kadhalika mpaka herufi ya mwisho Ya (ูŠ) = 10 = Ulimwengu wa roho, mwisho wa mzunguko na mwanzo mpya.



---


๐ŸŽฏ Wenye maarifa walitumia herufi hizi:


Kuandika majina ya siri


Kuficha maombi yenye nguvu


Kufungua milango ya nyota, elimu, na tiba


Kuweka maneno ya baraka au laana kwenye maji, vumbi au maandishi




---


๐Ÿ”ฅ JE WAJUA?

Katika dua nyingi za Qur’an na Zaburi, herufi za abdjadi zimetumika kuficha jina la Mungu au mwelekeo wa maombi!


๐Ÿง  Siri za maneno kama: "Alif Laam Miim" au "Kaaf Haa Yaa Ain Saad"

๐Ÿ‘‰ Ni sehemu ya fumbo la abdjadi – ambazo wakufunzi wa kiroho walizitunza kwa miaka!



---


๐Ÿงฒ Unapotamka herufi kwa kutafakari (mantra), mwili wako hujibu, roho yako hufunguka, na ulimwengu wa kiroho hukusikiliza.


๐Ÿ•ฏ️ Leo tambua: sauti zako zinaweza kuumba, kufungua milango ya mbinguni, au kuvunja minyororo ya kipepo.



---


๐Ÿ“#SiriZaAbjadi

๐Ÿ“#HerufiZaNguvu

๐Ÿ“#DrMagowo

๐Ÿ“#AngazaNuru

๐Ÿ“#MaombiYaKifumbo

๐Ÿ“#ElimuYaKiroho