Wednesday, August 6, 2025

 *DAWA YA PID & UTI*


Viambata🌿

1. Vitunguu swaumu 2

2. Vitunguu maji 3

3. Karafuu kijiko 1

4. Mdalasini kijiko 1

5. Karoti 2

6. Limao 2

7. Tangawizi 1

8. Binzari  1

9. Juisi ya ukwaju ½ lita 

10. Asali mbichi ½ lita


*Namna ya kuandaa*

- Tengeneza juisi asilia ya ukwaju, kwa kuloweka ½ kilo ya ukwaju kwenye maji ½ lita 

—Acha kwa masaa 6 hadi 12

—Chuja na upate  juisi yako


- *Osha na safisha viambata vyako vyote*

—Menya vitunguu swaumu

—Katakata vinguu maji

—Katakata karoti


- *Saga viambata vyako vyote kwenye blender, au twanga kwa kinu.*

—Chuja kwa kutumia kitambaa safi, kamua kabisa ubakishe makapi kavu.

—Baada ya kupata juisi yako, kamlia vipande vya limao.


*Matumizi:*

Kunywa vijiko vinne asubuhi mchana na jioni, kabla ya mlo.

*—Faida yake nyingine ni pamoja na: kuzibua mirija ya uzazi, kutibu fungus za za sehemu za siri, kutibu mshipa wa ngiri, kuongeza nguvu za kiume, kutibu ulcers, kubalansi presha, kuondoa chelosterol mbaya, n.k*


Mdharau asili hufa kikatili

No comments:

Post a Comment