Tuesday, August 5, 2025

 


WAGONJWA WA HIV/AIDS wangefanya mmea huu kuwa rafiki yao.Ikiwa wangetengeneza juisi ya majani yake wakafanya zoezi la kunywa  kila mara hata mara 3 kwa siku  wangehisi mambo ya ajabu sana mwilini.


Dandelion ni mmea ambao umeponya wengi kwa habari ya saratani unayoijua wewe.Juisi ya miziz yammea huu ni kizuizi kikubwa cha ugonjwa wa saratani. Wengi wamepona kwa kutumia mmea huu.


Karbu kwa somo zima sasa.


๐Ÿ“๐Ÿ“ LEO NIZUNGUMZIE KITU KINAITWA DENDELION .


Dr. Ilakoze

0625522505. 


PIA UNGA WAKE  UNAPATIKANA KWETU OFSINI


 DANDELION kwa Jina la kisayansi unafahamika kama  (Taraxacum Officinale)  Maarufu kama Mmea unaofaa kwa kuimarisha mifupa ya mwili !!!  Umetumika karne na Karne katika kutibu magonjwa Mbali mbali ...!!!


 ๐Ÿ“ Dandelion ni mmea jamii ya mchunga na si mchunga kama wengi wanavyodhania ,  Ni mmea wenye faida nyingi kwa binadamu...


๐Ÿ“ Mmea huu asili yake ni ulaya na huko mashariki ya mbali India. Na hapa Tanzania hupatikana porini na majumbani kama maua...


๐Ÿ“ Na wenyeji wa Tanga, Pemba, Unguja na Mombasa (Kenya) huiita kwa jina la tumbaku ya wazuka.... !!!


 ๐Ÿ“ Dandelioni ina chumvi nyingi ambayo ina faida kwa kiwiliwili (mwili) cha binadamu na vilevile ina vitamin A, B, C,K,E ina protin, mafuta, wanga, chuma, calciaum, phosphorus, Magnesium, sodium, carotene a&b, Iron,  potassium,selenium Thiamine, (B1), Riboflavin (B2) kuwemo kwa madini mengi ya asili ya magnesium ndiko kunakofanya mmea huu kuwa muhimu katika kuimarisha mifupa ya mwanadamu ..


 ๐Ÿ“ ukitengeneza  juisi ya majani au miziz ya danselion Inafaa sana kwa matatizo ya  mifupa. Na juisi yake ikichanganywa na juisi ya karoti ndiyo inafaa sana yaan inakuwa nzuri vibaya mno . Ni dawa nzuri sana kwa ini kwani husaidia ini kufanya kazi yake vizuri na kutoa sumu zanye madhara zilizoingia mwilini ....


 ๐Ÿ“ Kama nilivyosema hapo juu kuwa inajulikana kwa kuimarisha mifupa , kwa sbb gani ,kwa sabb  Dandelion ina kalsiamu nyingi, ambayo ni muhimu kwa ukuaji wa mfupa , lakini pia ina antioxidants kama vile luteolin na vitamini C ambayo huzuia mifupa kuharibika kutokana na radicals bure (free radicals)


 ๐Ÿ“ Huweka sukari sawa ndani ya mwili 


Ukitengeneza Juisi ya dandelion ukampa mtu mwenye kisukari ,  huchochea uzalishaji wa insulini kutoka kwa kongosho kwa kuweka kiwango cha chini cha sukari ya damu lkn pia  Inaboresha urination ambayo huondoa sukari ya ziada kutoka kwa mwili. Kwa maana hyo , kunywa juisi ya dandelion kunaweza kuzuia spikes hatari  kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari...


 ๐Ÿ“ Dandelion pia  hutumika kama dawa ya Romatizim (Rheumatism) kukosa damu (Anemia), matatizo ya mkojo, chunjua (warts), matatizo mengi ya mwili figo,  n.k


Unaweza ukaitumia kwenye saladi, supu na chai kwa ajili ya kuboresha afya yako !!!


๐Ÿ“Mizizi yake kama itatumika kwa uangalifu kwa muda mrefu yaweza kuleta msawazo wa kihomoni,hivyo kama uko na hormonal imbalance na PCOS, anza leo kunywa chai yake.


 ๐Ÿ“ Utomvu wa dandelion husaidia kutibu magonjwa ya ngozi ambayo ni matokeo ya maambukizo ya fungal na microbial...


Kwa sbb Utomvu una alkali nyingi na una mali ya kuua wadudu, germicidal na fungicidal. 


๐Ÿ“Utomvu huo unaweza kutumika kwenye magonjwa ya  ukurutu, upele, kuwasha na hali zingine za ngozi 


Bila kusahau Juisi ya Dandelion ni diuretic nzuri, detoxifier, antioxidant, na kichocheo ambacho kinafaa kwa watu wenye  chunusi...


๐Ÿ“ Vile vile  Juisi ya Dandelion husaidia kuregulate  homoni kwa kuongeza jasho na kufungua pores. Hii husaidia kuondoa sumu kwa namna ya mkojo na jasho...


 Kwa Matumizi ya  nje ya dandelion kama kuoga maji yake  huzuia maambukizi ya microbial na huondoa  chunusi, Vitamini C ktk  dandelion pia hufanya  mchakato wa uponyaji wa vidonda . kuvimba na makovu kupona haraka


 Ukichukua Mizizi ya Dandelion ukaichemsha  huua 92% ya seli za saratani (kansa) 


Hkiwa na 

Saratani ya utumbo mpana

Saratani ya damu

Saratani ya kongosho

Saratani ya ngozi

Saratani ya Tezi Dume 


Chukua Mizizi ya dandelion ya kutosha ,kisha chemsha   unywe kikombe cha chai mara 2 kwa siku...


kama una vidonda vya kansa ,ponda ponda mizizi yake changanya na majani yake weka sehemu hiyo huku ukiendelea kutumia Chai ya mizizi hiyo ...!! baada ya mda .da utaona mabadiriko au kupona kabisa

Mzizi ya Dandelion mimi huwa naiita  Detox ya Asili , Na hapa natengemea kutengeneza detox ya watu waliowahi kuchanja chanjo ya covid 19 ili waweze kuondoa sumu ,mojawapo ya mmea nitakaouweka ni huu Dandelion 


Faida ya Mizizi yake !!


 Kisafishaji ini - huondoa sumu

Diureti ya asili ( Natural diuretic) - inasaidia kazi ya figo

Kuwa na Kiasi kikubwa cha madini ya chuma - ni nzuri katika kupambana na upungufu wa damu

  inasaidia mzunguko wa damu mwilini 

IInaimarisha ngozi na kuifanya kuwa safi na yenye kung'aa


Matumizi 

weka kijiko kidogo kwenye  chai yako au tincture , Tjmia kwa siku 7 hadi 14 utaona maajabu


 ๐Ÿ“Dandelion ina nyuzinyuzi nyingi ambazo husaidia usagaji chakula na kuweka  afya nzuri ya tumbo (wale wenye changamoto ya tumbo hii inawafaa sana)...


 Kama una tatizo la kutokupata choo , unakula ila choo huendi basi huu mmea unakufaa sana  . na kama huna hamu ya kula tumia mmea huu utapata hamu ya kula ...


 Kwa aina yoyote ya  saratani (cancer)  tumia mimea hii miwili ...


Majani ya stageri  na  Mmea mzima wa  dandelion..


Mimea hii  inaua  seli za saratani kuliko chemotherapy au tiba yeyote ya  mionzi unayopenda...


 pia hata kama huna kansa unaweza itumia kama kinga 


Chukua vijiko viwili vya unga  wa mstaferi na dandelion , weka  100ml kwenye  maji ya moto...


kunywa mara 2-3 kwa siku ..


 Nimechoka kuandika 

magonjwa mengine ambaho mmea huu unaweza kutibu 


HIV/AIDs, Liver , hepatitis, enlarged liver, Arthritis, boost immunity, lower blood pressure, Aids weigh loss  ,Blurry Vision


Kwa Leo Tuishie hapo !!...!!!!!


Wanaotaka dawa iliyoandaliwa bei zake 


■■Ukichukua chupa 5  ni Tsh 20,000/=


■■Ukichukua chupa 1 ni Tsh 15,000/=


  ■■ Ukichukua chupa 10 ni Tsh    12,000/=

Mawasikiano

0744 001 306 

0675 166 945 

0625 522 505 

Dr Ilakoze 


Asili huponya

No comments:

Post a Comment