πΏ✨ DAWA YA MSHIPA NGIRI (HERNIA) KWA NJIA ASILIA NA KIROHO ✨πΏ
π Imeandikwa na: Dr. Magowo
π² Follow π @Angaza Nuru
---
π΄ Ngiri ni nini?
Ni hali ya uvimbe unaotokea pale viungo vya ndani (hasa utumbo) vinapotoka nje ya ukuta wa misuli ya tumbo. Mara nyingi hujitokeza sehemu ya kinena, kitovu, au kifuani.
---
π’ DALILI ZA NGIRI:
Uvimbe unaojitokeza hasa ukisimama
Maumivu sehemu ya kinena
Tumbo kujaa gesi
Kukosa nguvu za kiume
Kushindwa kutoa haja ndogo/kubwa
---
πΏ DAWA ASILIA ZA NGIRI:
✅ Mizizi ya Mlonge + Kitunguu Saumu + Asali
> Saga mizizi ya mlonge, changanya na kitunguu saumu + asali. Kunywa kijiko 1 asubuhi na jioni kwa siku 21.
✅ Unga wa Mbaazi Nyeusi
> Kaanga mbaazi, usage iwe unga. Changanya na asali, lamba kijiko kila siku.
✅ Mafuta ya Habbatus Sauda
> Kunywa kijiko 1 kila siku na pakaa sehemu ya uvimbe.
✅ Majani ya Mpapai + Tangawizi
> Chemsha, kunywa kikombe asubuhi na jioni.
✅ Mafuta ya Nyonyo (Castor Oil Pack)
> Loweka kitambaa, funga sehemu ya uvimbe kwa dakika 30 kila siku.
---
π§♂️ Mazoezi Yanayosaidia:
Kukaza tumbo kwa pumzi
Kujinyoosha taratibu
Epuka kubeba mizigo mizito
---
π₯ NGIRI KIROHO:
Mara nyingine ngiri ni pigo la kichawi au kishikizo cha kipepo, hasa linapotokea ghafla bila sababu ya kimwili.
π Maombi ya Kivita:
> "Kwa jina la Mungu aliye hai, navunja kila ngome ya giza iliyoleta ngiri. Kila agano la uchawi juu ya mwili wangu lifutiliwe mbali sasa!"
---
π KUMBUKA:
Ngiri kubwa au yenye maumivu makali huhitaji msaada wa hospitali. Tiba hizi asilia husaidia mapema na kuimarisha misuli.
---
π Imeandikwa na Dr. Magowo
π² Follow π @Angaza Nuru kwa mafundisho ya uponyaji wa kiroho na tiba asilia.
?
No comments:
Post a Comment