Nsubata,kiganga huitwa "MAMAOMAKO"
ni dawa nzuri Sana hii
MATUMIZI YAKE
1.Mizizi
-Hutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume,chemsha mizizi yake kunywa kikombe kidogo Cha chai kutwa mara mbili.
-Hutibu chango kwa akina mama chemsha kunywa kutwa Mara mbili.
2.Majani.
Hutibu mvurugiko wa hedhi kwa akina mama,kama wewe hedhi yako imepitiliza nenda asubuhi kwenye huu mti chukua majani yake kwa mdomo wako usichukue kwa mikono tafuna,fanya hivo kwa siku tatu Hadi tano mfulululizo utapona kabisa
-Hutibu kubemendwa kwa watoto wadogo,kama wewe mwanamke ama mwanaume umechepuka kabla kufika home kuonana na mtoto wako mdogo tafuna majani ya huu mti njoo nayo yakiwa kinywani mwako ukifika tema mkononi mpake mtoto mwili mzima hatabemendwa walahi,pia unaweza ukamuogesha majani yake kwa kuchmsha na kumnywesha.
3.Matawi
Hutumika kama tiba ya meno,hung'arisha meno,husaidia meno kuwa imara,huondoa bakteria wabaya kinywani,kwa matokeo zaidi pigia mswaki kwa mti huu kila siku ukitumia ute wa mti wa mbono(Manyanga)
Utakuwa sawa.
Ndimi Msukuma wa Shinyanga Tanzania 🇹🇿 Karibuni Sana kwa tiba za asili
ERY Herbal Clinic leo chukua hii,,, kwa wale wenye matatizo ya upungufu wa damu wachukua majani wachemshe wanywe maji yake kikombe kimoja asbuhi na jioni, siku3 hadi7, nenda kacheki damu, lazima uambewa sasa unatakiwa tukutoe damu ili uwasaidie wagonjwa.
Unafaida nyingi ninazo zijua za huu mti. Unaweza pia kutumia km kiungo ktk chai ya kila siku.
Kifua
Bawasiri
Majani yake ukichanganya na majani ya mti fulani,,H.I.V kwa heri...
kwenye mifupa na meno sawa lakn nguvu za naniliii mmmh
Pia husaidia usilishwe uchawi
Mmea unaoonekana kwenye picha ni Mdaha (Hausa: Goron Tula / Kiingereza African chewing stick / Kiswahili Mdaha wa kusukutulia meno).
Faida za Mdaha wa Kusukutulia Meno
1. Husaidia kusafisha meno na kuondoa mabaki ya chakula
Mdaha una nyuzi zinazofanya kazi kama brashi ya meno ya asili.
Hupenya vizuri katikati ya meno na kusafisha sehemu ambazo mswaki wa kawaida hushindwa.
2. Hupambana na bakteria wa kinywa
Unao uwezo wa kuua bakteria wanaosababisha harufu mbaya ya kinywa na kuoza kwa meno.
Unasaidia kuzuia kutuama kwa plaque na kutengeneza meno yenye afya.
3. Huimarisha fizi
Unapotafunwa, mdaha huipa nguvu fizi zako na kusaidia kuondoa uvimbe au maambukizi madogo.
Huzuia kutokwa damu kwenye fizi.
4. Hutoa harufu nzuri ya asili kwenye kinywa
Unapoutumia, hutoa harufu safi na ya asili inayofanya kinywa kuwa na ladha na harufu nzuri.
5. Huondoa rangi au mabaka kwenye meno
Matumizi ya mara kwa mara husaidia kuondoa madoa yaliyosababishwa na kahawa, chai au tumbaku.
6. Ni suluhisho la kiafya bila kemikali
Hauna viambato vya kemikali kama dawa nyingi za meno, hivyo hauna madhara kwa afya yako kwa ujumla.
7. Huchochea mate (saliva)
Kutafuna mdaha huongeza uzalishaji wa mate, ambao ni muhimu kuondoa bakteria na kulinda meno dhidi ya kuoza.
Ninapo uzungumzia huu mmea wasukuma,wasangu nazani munanielewa vizuri
No comments:
Post a Comment