Tuesday, August 5, 2025

 


“Cassia Abreviata”


Ukikuta mtu anajiita daktari wa tiba mbadala/asili na hana dawa inayotokana na mti wa “Acassia Abreviata” ujue tu kuwa huyo ni mwamafunzi wa tiba.


Mmea huu umethibitishwa kutubu magonjwa mengi sana ikiwemo HIV-1


Ni miongoni mwa mimea michungu😀 ila inatibu kwa haraka sana. Hapa nakuwekea baadhi ya faida zake.


1. Matatizo ya hedhi na uzazi kwa wanawake, Hususani wanawake waliotharika sana na kemikali za uzazi wa mpango.


2. Maralia Sugu; kuna watu wanasumbuliwa na maralia sugu, mmea huu huchanganywa na tangawizi na unatibu changamoto hiyo kwa siku saba tu.


3. Magonjwa ya ngozi, mmea huu unatibu magonjwa aina mbalimbali ya ngozi, hata kama ni mzio wa kuwashwa kila wakati hupona kabisa.


4. Husafisha damu, kama unaenda kupima na unaambiwa damu yako ni chafu ndiyo maana unapata vipele, majipu na kuwashwa mwili, mmea huu hukomesha kabisa hali hiyo kwa kuifanya damu kuwa safi.


5. Huimarisha misuli ya uume, kwa wale wanaume ambao misuli yao ya uume inaonyesha unyonge na wakati mwingine uume unakuwa unarudi ndani ya mwili kama unajificha, mmea huu huondoa kabisa tatizo hilo, kwani ni kiboko ya chango la kiume ambalo huchangia kusababisha hali hiyo.


6. Hutibu magonjwa ya ngiri: Mmea huu hupambana na chango linalosababisha mshipa wa ngiri kwa wanaume.


7. Kwa kuchanganywa na aina nyingine ya mimea, mmea huu hutibu magonjwa ya PID na kuondoa vimbe katika uzazi kwa wanawake.


Mmea huu unaweza kutumika pekee au kwa kuchanganywa na mmea mingine ili kuleta ufanisi zaidi kwa kuzingatia uwiano maalumu.


Unaweza kutumia mmea huu kwa kuchimba mzizi wake mbichi na kuuchemsha, halafu utatumia kwa kunywa mara mbili kwa siku, au kwa unga wa mizizi yake ulioandaliwa kwa ufanisi, nusu kijiko katika maji moto mara tatu kwa siku.


NOTE: Zingatia matumizi sahihi ya dawa kwa kupata ushauri kwa wataalam,jihadhari na matumizi yasiyo sahihi ya mitishamba na hakikisha unatibu tatizo unalolifahamu vyema.

No comments:

Post a Comment