By Dr Magowo – Mlinzi wa Ukoo
๐ฟ MTUPA – Mmea wa Kawaida, Lakini Mlinzi wa Kiroho Usiyemjua!
Usiudharau mmea unaoota kando ya nyumba, ukuta au kichakani!
๐ Huu ni Mtupa – mmea wa porini wenye nguvu ya kusafisha, kulinda na kuvunja vifungo vya rohoni.
๐ฅ FAIDA ZA KIROHO ZA MTUPA (Cocculus hirsutus):
๐ก️ 1. Kinga ya Kiroho kwa Nyumba na Biashara
→ Nyunyizia maji ya majani ya mtupa kila kona ya nyumba kufukuza uchawi, mizimu na laana za kifamilia.
๐ง๐พ 2. Kuvunja Maagano ya Giza
→ Chemsha majani yake, ogelea nayo wakati wa maombi ya vita.
→ Taja: “Natengana na kila agano la giza juu ya maisha yangu!”
๐ 3. Kufungua Ndoto na Kutoa Upofu wa Kiroho
→ Tumia kabla ya kulala. Ndoto zako zitabadilika – utajiona ukikimbia huru, minyororo ikikatika, au adui akishindwa.
๐ 4. Kukata Minyonyoro ya Mizimu na Roho za Kifo
→ Tumia katika maombi maalum ya ukoo, kutakasa damu, na kuomba upya uumbaji wa maisha.
๐งด JINSI YA KUTUMIA MTUPA KIROHO
๐ธ Chemsha majani 7 ya mtupa
๐ธ Changanya na maji ya chumvi au mwarobaini
๐ธ Omba sala ya moto (kulingana na imani yako)
๐ธ Oga ukianzia kichwa hadi miguuni
๐ธ Funga milango ya kiroho kwa maneno:
"Ninajifunika kwa ulinzi wa nuru ya Muumba, hakuna giza litakalonipenya tena."
๐ฟ Ulimwengu wa roho hutii sheria za kiroho.
Usipojitakasa, watakutumia. Usipojua, watakuibia.
➡️ Unahitaji maombi maalum au maelekezo ya vita ya kiroho kwa kutumia mimea?
✍️ Andika: “Nataka uongozi wa kiroho kwa kutumia mitishamba.”
#MtupaKiroho
#CocculusHirsutus
#DrMagowo
#MlinziWaUkoo
#TibaAsilia
#VitaYaKiroho
#MitishambaInaponya
#UfunuoNaNgome

No comments:
Post a Comment