π₯π₯π₯
π« MUZIKI WA NGUVU ZA GIZA UNAVYOANGUSHA MAMILIONI KIROHO π₯
π₯π₯π₯
Si kila muziki ni burudani. Wengine ni milango ya nguvu za giza kuvamia maisha yako kupitia audio, video, maneno, na frequency za rohoni.
π§ AINA ZA MUZIKI WA GIZA:
- Muziki wa tamaa na mapenzi ya kimwili – unafungua milango ya zinaa ya rohoni (spirit spouse)
- Muziki wa huzuni na kukata tamaa – huvutia mapepo ya depression na suicide
- Muziki wa giza la rohoni (satanic codes) – una alama, majina ya miungu ya kale, na frequency zinazobeba maagano
- Muziki wa starehe kupita kiasi – hufunga akili yako kwenye dunia na mali, ukasahau roho yako
- Muziki unaochochea hasira, vurugu, au kiburi – huamsha roho za mashindano, kujikweza, na uasi
π₯π₯π₯
π₯ VIDEO NA AUDIO ZA GIZA ZINAVYOCHAFUA:
- Zina alama za kipepo, nyoka, jicho moja, au mwanga wa kishetani
- Zina ladha ya matusi, utupu, au mivutano ya kijinsia
- Zina sauti zilizowekwa chini kwa chini (subliminal commands) ambazo akili yako haitambui, lakini roho yako inazipokea
- Zinaweza kukutembelea usiku kwa ndoto au kujiona ukicheza stage
⚠️ MADHARA YA MUZIKI WA NGUVU ZA GIZA:
- Kuota unafanya mapenzi au kutumbuiza kwenye jukwaa
- Kuchanganyikiwa au kuwa mvivu kiroho
- Kutopata mafanikio, fedha zinayeyuka, ndoa zinaharibika
- Kunyonywa nyota na akili kupitia simu yako, masikio na jicho
- Kukwama kimaisha kwa sababu roho yako inatumikishwa gizani
π₯π₯π₯
π₯ JE UMEATHIRIKA?
- Je, simu yako haikaliki bila muziki fulani?
- Je, unaona aibu kusali au kuchukua Biblia?
- Je, umeota ukicheza, kuimba au kuvalishwa nguo za kisanii?
- Je, una hisia ya mapenzi isiyoisha bila sababu?
π Kama majibu yako ni NDIO, ni wakati wa KUJITOA KIROHO kutoka kwa nguvu za giza kupitia muziki na video zao.
π‘️ TIBA:
- Sikiliza audio zenye frequency safi za uponyaji (432Hz, 528Hz)
- Omba uvunjwe maagano ya rohoni yaliyokuja kupitia muziki
- Safisha simu, masikio, na chumba chako kwa mafuta ya kiroho
- Acha muziki unaokuondoa kwa Muumba – burudika rohoni, si kwa shetani
π₯π₯π₯
π Imeandaliwa na: Dr Magowo
π² +255712061114
π Angaza Nuru – Tunafunua siri zilizofichwa gizani
π₯π₯π₯
No comments:
Post a Comment