π₯π₯ Imepewa nguvu ya kiroho na DR MAGOWO
π’ Follow: Angaza Nuru
π WhatsApp: +255 712 061 114
π₯ ONYO: MUZIKI NA VIDEO ZA GIZA ZAANGUSHA ROHO! π₯
π§ Muziki na video nyingi za kisasa zinapakiwa kwa kutumia vibration za giza, na hubeba mizigo ya kipepo isiyoonekana kwa macho!
Zinaambatana na:
- π₯ Agano la giza na laana za ukoo
- π₯ Pepo wa tamaa, uasherati na punyeto
- π₯ Roho ya upotevu wa kimwili na kiroho
- π₯ Miito ya ndani ya kishetani kwa kutumia sauti, beat na picha
Zina alama hizi za kishetani:
π Nyoka
π️ Jicho moja
π Michoro ya damu au sanamu
π₯ Mwanga wa kishetani unaovutia lakini waangamizi
⛔ Unaposikiliza au kutazama video hizi:
- Unafunguliwa kiroho upande wa giza
- Unapoteza kinga ya kiroho
- Unavuta mapepo kupitia masikio na macho
- Unaota ndoto chafu, kupenda ngono, na kuchoka rohoni
π‘️ Tubu, jikate, na jikomboe kutoka muziki wa giza!
Tafuta miziki ya kumuinua Mungu, kusafisha roho, na kuimarisha maisha ya kiroho.
π₯ Imeandaliwa na DR MAGOWO – Mlinzi wa Milango ya Roho
π WhatsApp: +255 712 061 114
π’ Follow: Angaza Nuru
No comments:
Post a Comment