“Phyllanthus niruri”—ndilo jina lake la kisayansi, maarufu kwa jina la Mzalia nyuma, mmea huu una “phytochemicals” kama “Lignans” iliyo na “Phylanthin na Hypophyllanthin” ambazo zimethibitika kuwa na uwezo wa kulinda Ini (hepatoprotective) na pia kuthibiti virusi vya hepatitis B kwa kuzuia urudufu (replication) wa virusi hivyo.
Kwa tafiti za hivi karibuni, mmea huu umegundilika kuwa na polyphenol aina ya “Geraniin” yenye uwezo mkubwa wa kuzuia maambukizi ya HIV
Vilevile misombo kama Ellagic acid iliyo katika mmea huu, ina nguvu kubwa ya antioxidant na antiviral—inasaidia seli kujilinda dhidi ya uharibifu unaosababishwa na virusi.
Kiufupi huu mmea una polychemicals nyingi, na ukiutumia vizuri kwa kuchanganya na baadhi ya mimea kwa hakika hautaishia kupona Hepatitis B peke yake, bali utapona kabisa hata HIV
Mdharau asili hufa kikatili

No comments:
Post a Comment