Kinga kubwa ya mwili aikai mwilini mwako Sababu ni raisi wachawi kuibomoa sasa nakupa Kinga hii akuna mchawi atakaye kuroga au kukuua mpaka mungu apende my name is kapilima spiritual kapilima wizard king of tree Tanzania Maarifa yangu Dr kapilima MBUI CHAWAGI DAWA ZA ASILI 255656435959 0653 868 559 gongo la mboto mwisho daresalaam Tanzania
Mti ni mmoja tu unatumika hapa .
Mpururu au mkisi au mzimya
Nenda kachimbe mizizi ya mashariki na magharibi kabla ya kuchimba uzunguke mara 7 eleza Nia ya kuuchimba piga magoti jichanje kidogo damu dondoshea kwenye mti shinani
Chumba mizizi Rudi nyumbani tupa jalalani siku tatu baada ya hapo chukua kwangua Anika twanga pata unga hapa dawa imekamilika dawa hii tumia kuoga kwa manuizi wakati unaoga ndani ya maji weka kisu sindano wembe mkuki vimbo nk nuia kujikinga ukimaliza vile vitu vitoe nenda kaendelee na maisha yako majibu utayapata inshallah
Karibu dukani kwetu ujipatie dawa za jumla na rejareja karibu ofisini kwetu kwa tiba na ushauri tunatuma dawa mkoani na nnje ya nchi kapilima the great 255656435959
No comments:
Post a Comment