Tuesday, August 5, 2025

 “Zanthoxylum fagara”—ndilo jina lake la kisayansi,  hujulikana pia kwa majina kama *wild lime*, *Colima, Lime Pirickly-ash* au *toothache tree.* Wasukuma wanaita *Nsoma,* Ni mmea wa familia ya *Rutaceae* 


💥Mmea huu unatumika sana katika tiba za jadi sehemu mbalimbali za Afrika, na Amerika ya Kati na Kusini, kwa kuwa na sifa za kupambana na Malaria, bakteria, Saratani, pamoja na kutibu maumivu ya meno, anemia ya seli mundu (sickle cell anemia) na magonjwa mengine.


✅Zanthoxylum faraga una faida nyingi kiafya na una *misombo dawa* nyingi kama:- 


1. *Alkaloids* 

—Mfano *berberine, fagarine, nitidine* – huwa na shughuli za antimicrobial, anti-inflammatory, na anti-cancer.


2. *Flavonoids* 

—Hutoa antioxidant, hupambana na uchochezi mwilini.


3. *Lignans* 

—Hutoa kinga dhidi ya saratani na magonjwa ya moyo.


4. *Terpenoids & Coumarins* 

—Zina athari ya kupambana na bakteria na fangasi.

5. *Tannins* 

—Huzuia kuvuja damu na kusaidia kuponya majeraha.


6. *Essential oils* 

—Hutoa harufu kali, hubeba shughuli za antibacterial na kupunguza maumivu.


*Matumizi ya Jadi ya Kimatibabu:*


*1. Mizizi*

—Hutumika kutibu:

✅Malaria, 

✅Homa kali

✅Nguvu za kiume 

✅Siko seli

✅Kansa

✅Kuimarisha uzazi (mwanaume na mwanamke), 

✅Gonorrhea, 

✅Matatizo ya mfumo wa mkojo *(urethritis)*

✅Baridi yabisi (rheumatism)

✅Husaidia kutuliza *maumivu ya meno* (mizizi hutafunwa au kutumika kama mswaki/brushing stick).


*2. Magome (gome la shina)*

—Lina nguvu ya:-

✅Kupambana na bakteria na *fungi*.

—Hutumika kwa kutibu:

 ✅Kuharisha damu (dysentery)

 ✅Minyoo tumboni

✅Maambukizi ya meno na fizi

 ✅Kuchochea uchungu wakati wa kujifungua


*3. Majani*

—Majani yaliyosagwa hutumika kutibu:

 ✅Vidonda vya macho (conjunctivitis)

 ✅Uvimbe

✅Maumivu ya viungo

  ✅Kuharisha na *tumbo la kujaa gesi*

✅Pia huchanganywa kwenye maji ya kuoga kutuliza uchovu au *kupunguza homa*.


*4. Mbegu*

—Mbegu huweza kutumika katika matibabu ya

✅Kizunguzungu, au hata kama *kichocheo cha mfumo wa fahamu*.

✅Pia zinaweza kuchanganywa na mafuta kama *dawa ya kupaka kwenye majeraha au ngozi yenye fangasi.*


*Mwisho* 

Huu mmea ukiuchanganya na baadhi ya mimea unafuta kabisa maambukizi ya HIV-1 kwa sababu unaongeza kinga kwa haraka na una sifa kuu ya kuongeza *“phagocytic activity”* yaani uwezo wa wa seli za kinga kumeza *“vimelea hatari”*


Mdharau asili hufa kikatili

No comments:

Post a Comment