MNYONYO MNYONYO MNYONYO
1: Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k)
👉🏻Tumia majani ya Mnyonyo kwa kuyapasha kwenye moto kisha unafunga eneo lenye maumivu, au pasha kisha sugulia kwenye eneo linalouma kama anayepasha mwili .Wakati huohuo ukiendelea na chai ya majani yake kikombe kimoja mara mbili au tatu kwa siku .Chemsha majani kwa dakika 15-20 kisha kunywa .
2: Kwa matatizo ya ini
👉🏻Kausha majani upate unga wake , tumia kama chai kwa siku 21 hadi 56
3: Kwa matatizo ya hernia- Mshipa wa ngiri
👉🏻Tumia chai ya mizizi kwa kunywa kikombe 1 mara 3 kutwa .waweza pia fanya mizizi hiyo kuwa unga kisha kijiko kimoja cha chakula au vijiko viwili vya chai kwenye kikombe cha maji ya moto kila siku kwa siku 21 hadi 30.
4: Uume kusinyaa au kusimama legelege
👉🏻Tumia mafuta ya mnyonyo kuchua uume wako kutoka kwenye mapumbu kuelekea kwenye kichwa. Tahadhari usijichue.Anza kwa kuchua kwa kitambaa safi cha pamba au chochote kisafi unakiloweka kwenye maji ya moto yasiyounguza sana kisha kanda uume wako polena taratibu kwa dakika 3,4 au 5 .Baada ya hapo tumia mafuta ya mnyonyo kuchua uume wako kutoka kwenye mapumbu kuelekea kwenye kichwa.
5: Maumivu ya maungio au viungo au joints
👉🏻Paka mafuta kwenye mikono yako kisha pasha mikono yako kwenye makaa ya moto na kisha kanda (chua) eneo lenye maumivu mara 2 kutwa...
5: Warts/ sundosundo/ Chunjua
👉🏻Paka mafuta ya mnyonyo eneo lenye sundosundo..
6: Matatizo ya macho
👉🏻Tumia mafuta ya mnyonyo kama eye drop - tone 1 kwa kila jicho
7: Kukosa choo - Constipation
👉🏻Weka matone 2 ya mafuta ya mnyonyo kwenye maji ya moto kikombe 1 kisha kunywa asubuhi na jioni .
🔥 Angalizo hapa Kaa karibu na choo, FUSO itakata break, Dereva hataweza kuhimili usukani!
Ni mhimu sana kuwa na mafuta ya mnyonyo nyumbani kwako
Namba ya kutuma sadaka yako ni 0675 166 945 majina ni James Mgonda
Asili huponya
No comments:
Post a Comment