Wednesday, August 27, 2025

 Nsubata,kiganga huitwa "MAMAOMAKO"

ni dawa nzuri Sana hii 


MATUMIZI YAKE

1.Mizizi

-Hutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume,chemsha mizizi yake kunywa kikombe kidogo Cha chai kutwa mara mbili.

-Hutibu chango kwa akina mama chemsha kunywa kutwa Mara mbili.


2.Majani.

Hutibu mvurugiko wa hedhi kwa akina mama,kama wewe hedhi yako imepitiliza nenda asubuhi kwenye huu mti chukua majani yake kwa mdomo wako usichukue kwa mikono tafuna,fanya hivo kwa siku tatu Hadi tano mfulululizo utapona kabisa

-Hutibu kubemendwa kwa watoto wadogo,kama wewe mwanamke ama mwanaume umechepuka kabla kufika home kuonana na mtoto wako mdogo tafuna majani ya huu mti njoo nayo yakiwa kinywani mwako ukifika tema mkononi mpake mtoto mwili mzima hatabemendwa walahi,pia unaweza ukamuogesha majani yake kwa kuchmsha na kumnywesha.


3.Matawi 

Hutumika kama tiba ya meno,hung'arisha meno,husaidia meno kuwa imara,huondoa bakteria wabaya kinywani,kwa matokeo zaidi pigia mswaki kwa mti huu kila siku ukitumia ute wa mti wa mbono(Manyanga)

Utakuwa sawa.


Ndimi Msukuma wa Shinyanga Tanzania 🇹🇿 Karibuni Sana kwa tiba za asili



ERY Herbal Clinic leo chukua hii,,, kwa wale wenye matatizo ya upungufu wa damu wachukua majani wachemshe wanywe maji yake kikombe kimoja asbuhi na jioni, siku3 hadi7, nenda kacheki damu, lazima uambewa sasa unatakiwa tukutoe damu ili uwasaidie wagonjwa.


Unafaida nyingi ninazo zijua za huu mti. Unaweza pia kutumia km kiungo ktk chai ya kila siku.



Kifua

Bawasiri

Majani yake ukichanganya na majani ya mti fulani,,H.I.V kwa heri...


kwenye mifupa na meno sawa lakn nguvu za naniliii mmmh


Pia husaidia usilishwe uchawi







Mmea unaoonekana kwenye picha ni Mdaha (Hausa: Goron Tula / Kiingereza African chewing stick / Kiswahili Mdaha wa kusukutulia meno). 


 Faida za Mdaha wa Kusukutulia Meno


1. Husaidia kusafisha meno na kuondoa mabaki ya chakula


Mdaha una nyuzi zinazofanya kazi kama brashi ya meno ya asili.


Hupenya vizuri katikati ya meno na kusafisha sehemu ambazo mswaki wa kawaida hushindwa.


2. Hupambana na bakteria wa kinywa


Unao uwezo wa kuua bakteria wanaosababisha harufu mbaya ya kinywa na kuoza kwa meno.


Unasaidia kuzuia kutuama kwa plaque na kutengeneza meno yenye afya.


3. Huimarisha fizi


Unapotafunwa, mdaha huipa nguvu fizi zako na kusaidia kuondoa uvimbe au maambukizi madogo.


Huzuia kutokwa damu kwenye fizi.


4. Hutoa harufu nzuri ya asili kwenye kinywa


Unapoutumia, hutoa harufu safi na ya asili inayofanya kinywa kuwa na ladha na harufu nzuri.


5. Huondoa rangi au mabaka kwenye meno


Matumizi ya mara kwa mara husaidia kuondoa madoa yaliyosababishwa na kahawa, chai au tumbaku.


6. Ni suluhisho la kiafya bila kemikali


Hauna viambato vya kemikali kama dawa nyingi za meno, hivyo hauna madhara kwa afya yako kwa ujumla.


7. Huchochea mate (saliva)


Kutafuna mdaha huongeza uzalishaji wa mate, ambao ni muhimu kuondoa bakteria na kulinda meno dhidi ya kuoza.


Ninapo uzungumzia huu mmea wasukuma,wasangu nazani munanielewa vizuri

Wednesday, August 6, 2025

 Kinga kubwa ya mwili aikai mwilini mwako Sababu ni raisi wachawi kuibomoa  sasa nakupa Kinga hii akuna mchawi atakaye kuroga au kukuua mpaka mungu apende  my name is kapilima spiritual kapilima wizard king of tree Tanzania Maarifa yangu  Dr kapilima  MBUI CHAWAGI  DAWA ZA ASILI  255656435959  0653 868 559  gongo la mboto mwisho daresalaam Tanzania 


Mti ni mmoja tu unatumika hapa  .

Mpururu au mkisi au mzimya 

Nenda kachimbe mizizi ya mashariki na magharibi  kabla ya kuchimba uzunguke mara 7 eleza Nia ya kuuchimba piga magoti jichanje kidogo damu dondoshea kwenye mti shinani 

Chumba mizizi Rudi nyumbani tupa jalalani siku tatu  baada ya hapo chukua kwangua Anika twanga pata unga  hapa dawa imekamilika  dawa hii tumia kuoga kwa manuizi wakati unaoga ndani ya maji weka kisu sindano wembe mkuki vimbo nk nuia kujikinga ukimaliza vile vitu vitoe nenda kaendelee na maisha yako majibu utayapata inshallah 

Karibu dukani kwetu ujipatie dawa za jumla na rejareja karibu ofisini kwetu kwa tiba na ushauri tunatuma dawa mkoani na nnje ya nchi kapilima the great 255656435959

 MNYONYO MNYONYO MNYONYO


1: Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k)


👉🏻Tumia majani ya Mnyonyo kwa kuyapasha kwenye moto kisha unafunga eneo lenye maumivu, au pasha kisha sugulia kwenye eneo linalouma kama anayepasha mwili .Wakati huohuo ukiendelea na chai ya majani yake kikombe kimoja mara mbili au tatu kwa siku .Chemsha majani kwa dakika 15-20 kisha kunywa .


2: Kwa matatizo ya ini 

👉🏻Kausha majani upate unga wake , tumia kama chai kwa siku 21 hadi 56


3: Kwa matatizo ya hernia- Mshipa wa ngiri

👉🏻Tumia chai ya mizizi kwa kunywa kikombe 1 mara 3 kutwa .waweza pia fanya mizizi hiyo kuwa unga kisha kijiko kimoja cha chakula au vijiko viwili vya chai kwenye kikombe cha maji ya moto kila siku kwa siku 21 hadi 30.


4: Uume kusinyaa au kusimama legelege

👉🏻Tumia mafuta ya mnyonyo kuchua uume wako kutoka kwenye mapumbu kuelekea kwenye kichwa. Tahadhari usijichue.Anza kwa kuchua kwa kitambaa safi cha pamba au chochote kisafi unakiloweka kwenye maji ya moto yasiyounguza sana kisha kanda uume wako polena taratibu kwa dakika 3,4 au 5 .Baada ya hapo tumia mafuta ya mnyonyo kuchua uume wako kutoka kwenye mapumbu kuelekea kwenye kichwa.


5: Maumivu ya maungio au viungo au joints 

👉🏻Paka mafuta kwenye mikono yako kisha pasha mikono yako kwenye makaa ya moto na kisha  kanda (chua) eneo lenye maumivu mara 2 kutwa...


5: Warts/ sundosundo/ Chunjua

👉🏻Paka mafuta ya mnyonyo eneo lenye sundosundo.. 


6: Matatizo ya macho

👉🏻Tumia mafuta ya mnyonyo kama eye drop - tone 1 kwa kila jicho 


7: Kukosa choo - Constipation 


👉🏻Weka matone 2 ya mafuta ya mnyonyo kwenye maji ya moto kikombe 1 kisha kunywa  asubuhi na jioni .


🔥  Angalizo hapa Kaa karibu na choo, FUSO itakata break, Dereva hataweza kuhimili usukani!


Ni mhimu sana kuwa na mafuta ya mnyonyo nyumbani kwako 


Namba ya kutuma sadaka yako ni 0675 166 945 majina ni James Mgonda 


Asili huponya

 *DAWA YA PID & UTI*


Viambata🌿

1. Vitunguu swaumu 2

2. Vitunguu maji 3

3. Karafuu kijiko 1

4. Mdalasini kijiko 1

5. Karoti 2

6. Limao 2

7. Tangawizi 1

8. Binzari  1

9. Juisi ya ukwaju ½ lita 

10. Asali mbichi ½ lita


*Namna ya kuandaa*

- Tengeneza juisi asilia ya ukwaju, kwa kuloweka ½ kilo ya ukwaju kwenye maji ½ lita 

—Acha kwa masaa 6 hadi 12

—Chuja na upate  juisi yako


- *Osha na safisha viambata vyako vyote*

—Menya vitunguu swaumu

—Katakata vinguu maji

—Katakata karoti


- *Saga viambata vyako vyote kwenye blender, au twanga kwa kinu.*

—Chuja kwa kutumia kitambaa safi, kamua kabisa ubakishe makapi kavu.

—Baada ya kupata juisi yako, kamlia vipande vya limao.


*Matumizi:*

Kunywa vijiko vinne asubuhi mchana na jioni, kabla ya mlo.

*—Faida yake nyingine ni pamoja na: kuzibua mirija ya uzazi, kutibu fungus za za sehemu za siri, kutibu mshipa wa ngiri, kuongeza nguvu za kiume, kutibu ulcers, kubalansi presha, kuondoa chelosterol mbaya, n.k*


Mdharau asili hufa kikatili

Tuesday, August 5, 2025

 Siku ukiumwa HIV 

Usikimbulie kumeza dawa, kwanza kaa kama mwezi mzima unatumia juice ya kitungu swaumu + ukwaju.


Siku ukiumwa homa 

Usikimbilie kumeza dawa, kwanza kaa kama siku 5 kunywa chai ya majani ya mpera + mchaichai.


Siku ukiumwa malaria

Usikimbilie kumeza dawa, kwanza kaa kama siku 7 ukinywa kahawa.


Siku ukiumwa minyoo

Usikimbilie kumeza dawa, kwanza kaa kama siku 4 unasaga mbegu za mpapai + kitungu swaumu.


Siku ukiumwa homa ya ini

Usikimbilie kumeza dawa, kwanza kaa kama miezi 3 

> Acha pombe 

> Punguza uzito

> kula kachumbali kwa wingi

> Tafuna vitungu maji

> Chemsha Fologeba ndani ya wiki 1unapona

 Misombo kama Alkaloids, Terpenoids, chlorogenic acid, n.k iliyo katika mmea wa “Zanthoxylum fagara”, huufanya mmea huo kuwa na nguvu kubwa ya kuongeza kinga ya mwili

  

Hivyo basi, mmea huu ukiuchanganya na baadhi ya mimea unafuta kabisa maambukizi ya HIV-1 kwa sababu una sifa kuu ya kuongeza “phagocytic activity” yaani uwezo wa wa seli za kinga kumeza “vimelea hatari”


Mdharau asili hufa kikatili

 


“Cassia Abreviata”


Ukikuta mtu anajiita daktari wa tiba mbadala/asili na hana dawa inayotokana na mti wa “Acassia Abreviata” ujue tu kuwa huyo ni mwamafunzi wa tiba.


Mmea huu umethibitishwa kutubu magonjwa mengi sana ikiwemo HIV-1


Ni miongoni mwa mimea michungu😀 ila inatibu kwa haraka sana. Hapa nakuwekea baadhi ya faida zake.


1. Matatizo ya hedhi na uzazi kwa wanawake, Hususani wanawake waliotharika sana na kemikali za uzazi wa mpango.


2. Maralia Sugu; kuna watu wanasumbuliwa na maralia sugu, mmea huu huchanganywa na tangawizi na unatibu changamoto hiyo kwa siku saba tu.


3. Magonjwa ya ngozi, mmea huu unatibu magonjwa aina mbalimbali ya ngozi, hata kama ni mzio wa kuwashwa kila wakati hupona kabisa.


4. Husafisha damu, kama unaenda kupima na unaambiwa damu yako ni chafu ndiyo maana unapata vipele, majipu na kuwashwa mwili, mmea huu hukomesha kabisa hali hiyo kwa kuifanya damu kuwa safi.


5. Huimarisha misuli ya uume, kwa wale wanaume ambao misuli yao ya uume inaonyesha unyonge na wakati mwingine uume unakuwa unarudi ndani ya mwili kama unajificha, mmea huu huondoa kabisa tatizo hilo, kwani ni kiboko ya chango la kiume ambalo huchangia kusababisha hali hiyo.


6. Hutibu magonjwa ya ngiri: Mmea huu hupambana na chango linalosababisha mshipa wa ngiri kwa wanaume.


7. Kwa kuchanganywa na aina nyingine ya mimea, mmea huu hutibu magonjwa ya PID na kuondoa vimbe katika uzazi kwa wanawake.


Mmea huu unaweza kutumika pekee au kwa kuchanganywa na mmea mingine ili kuleta ufanisi zaidi kwa kuzingatia uwiano maalumu.


Unaweza kutumia mmea huu kwa kuchimba mzizi wake mbichi na kuuchemsha, halafu utatumia kwa kunywa mara mbili kwa siku, au kwa unga wa mizizi yake ulioandaliwa kwa ufanisi, nusu kijiko katika maji moto mara tatu kwa siku.


NOTE: Zingatia matumizi sahihi ya dawa kwa kupata ushauri kwa wataalam,jihadhari na matumizi yasiyo sahihi ya mitishamba na hakikisha unatibu tatizo unalolifahamu vyema.