Tuesday, November 12, 2024
TIBA YA MARADHI SUGU KAMA
TIBA YA MARADHI SUGU KAMA
✍️FIGO
✍️INI
✍️U.T.I
✍️MALARIA SUGU
✍️GONOREA
✍️KUSAFISHA TUMBO
✍️MOYO
✍️PRESHA
✍️KISUKARI
✍️MACHO
kwa hakika maradhi haya pekee acha kuzunguka kama wewe ni muhanga wa matatizo hayo basi chakufanya chukua
👉 magome ya mti wa muegea
👉 magome ya mti wa mkuyu
👉 magome mti wa mzambarau
👉 magome ya mti wa mlonge
👉 majani ya mpera
chemsha dawa hizo kwa pamoja kisha tumia kunywa mgojwa anywe mara tatu kwa siku atumie kwa muda wa siku 14 kama wewe ni mgonjwa wa kisukari basi tumia siku 31 kila baada siku saba utatengeza dawa mpya nyingine maana hii itaisha nguvu utatupa na unaanda tena kila baada siku 14 yaani ndani ya wiki neenda kapime kisukari kwa hakika dawa mujarabu kwa kuongeza kinga mwilini CD4 na damu mwilini na wale wenye ugonjwa wa macho basi hii kiboko maradhi yote hii inatibu kasoro uzee na uhai.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment