Tuesday, November 12, 2024
mwani
Katika vitu ambavyo najuta kutovijua mapema ni faida za kutumia mwani aiseeee...hapa nilioloweka toka juzi nikaambiwa nikamulie malimao alaf niusage niwe nakunywa kila siku.....cjausaga bado but kabla cjatoka nakunywa kama gras moja natafuna hizo mizizi zake na nikirudi usiku pia nakunywa na napaka usoni pia hiii kitu ni nzuri sana tumieni aisee iko na faida lukuki mwilini...
Karibuni bidhaa za mwani
Mwani ni zao linalopatikana baharini , ambalo lina madini 92 kati ya madini 102 yanayohitajika kwenye mwili wa binadamu
Kazi zake nyingi sana , kama tiba lishe, dawa na urembo yaani ngozi
Kazi zake ni nini?
Mwani unatumika kama kinga dhidi ya
Saratani hasa ya damu
Magonjwa ya moyo
Kisukari
Uzito kupita kiasi
Tezi demu
Pressure na nyingine nyingi zaidi
Masuala ya ngozi
Mwani wa gel yaan seamos gel inatumika kama mask katika uso kuondoa taka ngozi na kufanya ngozi yao isizeeke na kuwa imara yenye kuvutia
Pia inatibu vidonda na michubuko mbalimbali kwa haraka zaidi kwa sababu mwani una asili ya chumvi
Faida zake
Husaidia afya ya uzazi
Husaidia kupunguza uzito
Husaidia kuondoa sumu mwili
Inasaidia kuua virusi vya homa
Husasaidia kutibu tezi dume
Inasaidia kutibu vidonda kwa haraka
Inasaidia kwa kuongeza kinga wanaoishi vya UKIMWI
Inazuia shambulio la moyo
Inazuia kuongezeka kwa seli za kansa
Inasaidia kwa wagonjwa wa kansa kama kansa ya damu , damu , matiti nk
Inaondoa gesi tumboni na kusafisha utumbo mpana
Inasaidia afya ya uzazi kwa mwanamke na mwanaume
Inasaidia kupunguza maumivu ya tumbo la hedhi
Inasaidia kushusha kiwanga cha kolesto
Inasaidia kusafisha damu
Husaidia kupunguza uvimbe mwilini
Hizi ni baadhi tu ya faidi zake zipo faida zaidi nyingi zaidi ukigoogle
mnaohitaji da
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment