Tuesday, November 12, 2024

DAWA NZURI ZA KUSAFISHA DAMU.

DAWA NZURI ZA KUSAFISHA DAMU. Kama unasumbuliwa na tatizo la Mchafuko wa Damu Tumia Dawa zifuatazo.👇 Maranyingi Ukiwa na Tatizo la Mchafuko wa Damu basi Mwili wako utakuwa na Magonjwa mengi ya ngozi,Muwasho Na kujikuna mara kwa mara. Chukua Dawa hizi tumia kunywa Kila siku Asubuhi na jioni. MNINGA UNGA WA KOMAMANGA UNGA WA UWATU UNGA WA MAJANI YA MLONGE UNGA WA AMLA UNGA WA TANGAWIZI UNGA WA MKUMBI UNGA WA MDALASINI. Dawa Zote Hizo Changanya Kwa Pamoja Tumia kunywa Nusu Kijiko Kwenye Chai au Maji Vugu Vugu. Dawa Hizo Zitakupa matokeo Mazuri Sio Tu Kwenye Tatizo La Mchafuko wa Damu Bali utapata Faida Zingine Ikiwemo Kuongezeka Kwa Vitamin B na D Kwa Wingi pia itakupa faida hata Kwa Kusafisha Kibofu Cha Mkojo.

No comments:

Post a Comment