Tuesday, November 12, 2024

Majani Ya Mbaazi

Majani Ya Mbaazi Husaidia kusafisha na kuondoa uchafu katika tumbo la uzazi baada ya kujifungua, pia kama umeshajifungua au mimba imeharibika ila bado unahisi maumivu ya tumbo, hii ni njia mbadala ya haraka ya kukupa nafuu na kukuponesha kabisa. Namna Ya Kuyatumia ni simple sana, CHUMA MAJANI KIASI KISHA CHEMSHA KWENYE KIASI CHA MAJI ikipoa weka kwenye kikombe kimoja kidogo cha chai na unywe asubuhi, mchana na jioni. Ni vyema mgonjwa uwe umeshakula na kushiba kabla ya kunywa dawa hii maana ina nguvu FAIDA ZA ZIADA ZA KUTUMIA MAJANI YA MBAAZI ~Kukausha uke wenye maji mengi kupitiliza ~Kuongeza joto ukeni wakati wa s*x ~Kuongeza hamu ya tendo la ndoa (kwa wanawake wasio na hamu ya kushiriki faragha) ~Husogeza kizazi karibu ~Kusafisha kuta za uke Endelea kujiweka mbali na maambukizi, kunywa maji, kuwa msafi na kula vizuri, ujiweke mbali na magonjwa ya uzazi Iwapo una changamoto katika uzazi na ungependa kujua namna ya kuitatua, tuandikie changamoto yako kwenda WhatsApp namba 0763872652 Pia tunayo MIXED HERBS POWDER .... dawa iliyoandaliwa ambayo ni mahsusi kwa changamoto yako na kwa ajili ya mfumo mzima wa uzazi na hormones kwa mwanamke Ni dawa ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi kama shivatar, mrehani, mjafari, oregano, shamari n.k ambayo - Inasafisha via vya uzazi kama kutoa msongamano wa maji machafu kwenye mirija ya uzazi na fuko la uzazi, kuondoa infections za bakteria na fangasi (P.I.D) -Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, kwenye mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cysts) - Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inawasaidia wanawake kuondoa changamoto ya mvurugiko wa homoni kwa wale wasiopata hisia za kufanya mapenzi, tatizo la uke mkavu, period kupishana, maziwa kujaa/kuuma damu ya hedhi kutoka mabonge, utelezi, mayai kutokupevuka n.k....

KUSAFISHA NYOTA NA KUFUNGUA CHAKRA YAKO.

KUSAFISHA NYOTA NA KUFUNGUA CHAKRA YAKO. Endapo wewe mtaalamu wa tiba unahitaji kumfungua na kumsafisha mteja au kuwasafisha wateja wako wawe na mvuto na nyota zao zing'ae basi tumia dawa hizi pamoja na njiwa mweupe hapa tunatumia damu ya vidole utachanganya na dawa za kumfungua mteja huyo . Kata kidole cha kati cha njiwa mweupe kisha ile damu dondoshea kwenye mchanganyiko wa dawa nitakazo kutajia hapa chini. Mocha ngoko Mkanya Mtegua Vifungo Muosha Fedha Mwenda Mkulungu Nyahinga Mpasua Jabari Mkoba shengelo. Dawa hizo zote zichanganye kisha utadondoshea damu ya njiwa mweupe ambaye hana doa. Changanya kwa pamoja ikisha changanyika utakwenda kumuosha mgonjwa na kama wewe sio mtaalamu lakini unataka kufungua nyota yako na vifungo vyako kwa kutumia dawa hii basi utafanya kama nilivyo elekeza hapa utanunua na kitambaa cheupe mita moja utajifunga wakati unaoga huo mchanganyiko. Ukisha tumia damu ya njiwa huyo utamwachia njiwa aende kama uliifanya kazi hiyo ukiwa ndani basi toka nje kisha umrushe aende nuwia kung'arisha nyota yako na kufungua ridhiki zako,kwenye biashara au kwenye kazi zako pamoja na kusikilizwa na kila mtu.

KUTIBU KILA UGONJWA MWILI

ASALAAM ALEYKHUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH? CHUKUA HII ITAKUSAIDIA INSHALLAH KUTIBU KILA UGONJWA MWILI NARUDIA KILA UGONJWA MWILINI UNAOKUSUMBUA WEWE TENGENEZA DAWA HII UTAONA MAAJABU HATA WALE WENYE MAGONJWA SUGU ANDAA HII UTAKUJA KUTOA SHUKRAN ZAKO KAMA MWINGI WA SHUKRAN WALE MLIOUMWA MPAKA KUDHOHOFIKA TUMIA HII KUSAFISHA DAMU,MAPAFU,KIFUA KIKUU TUMIA HII H I V POSTIVE TUMIA HII @Majani ya mbuyu viganja 2 @majani ya mlonge viganja 2 @majani ya mkalatusi viganja 2 @majani ya kivumbasi robo kilo yaliyochambuliwa @magome ya mbuyu kiganja kimoja @mbegu za mlonge robo kilo @vitunguu swaumu robo kilo @limao 7 @tangawizi Robo kilo @mdalasini vijiko 7@karafuu maua vijiko 7@pilipili manga Vijiko 3 na asali lita mbili HAPA TWANGA MAGOME YALAINIKE,MAJANI NA VINGINE SAGA KWENYE BLENDA UPATE MFUMO WA ROJO ILA WAKATI WA KUSAGA WEKA NA MAJI LITA MOJA NA NUSU VIKISAGIKA VIZURI ,CHEMSHA JIKONI KWA DAKIKA KUMI EPUA NA UCHUJE VIZURI KISHA HUO MCHANGANYO ULIYOCHUJA CHANGANYA NA ASALI MBICHI LITA MBILI CHEMSHA KWA MOTO HAFIFU KISHA IPUA NA UACHE IPOE HIFADHI KWENYE CHOMBO SAFI MATUMIZI WAKUBWA VIJIKO 2 VYA CHAKULA KUTWA ×3 WATOTO CHINI YA MIAKA 5 KIJIKO CHA SUKALI KUTWA MALA MBILI MIAKA 5-7KIJIKO CHA CHAKULA KUTWA MALA TATU DOZI MWEZI MMOJA MPAKA MITATU NDUGU ZANGU HAYA NINAYOWAFUNDISHA MSIYAZARAU NAJUA NINI NAWALETEA SIO KUBAHATISHA NAWAOMBEA NYINYI NA MIMI TUPATE SHIFAA KWA DAWA HIZI TURUDI KWENYE ASILI YETU WALIYOTUACHIA WAZEE WETU. TUTAFANIKIWA MENGI

mwani

Katika vitu ambavyo najuta kutovijua mapema ni faida za kutumia mwani aiseeee...hapa nilioloweka toka juzi nikaambiwa nikamulie malimao alaf niusage niwe nakunywa kila siku.....cjausaga bado but kabla cjatoka nakunywa kama gras moja natafuna hizo mizizi zake na nikirudi usiku pia nakunywa na napaka usoni pia hiii kitu ni nzuri sana tumieni aisee iko na faida lukuki mwilini... Karibuni bidhaa za mwani Mwani ni zao linalopatikana baharini , ambalo lina madini 92 kati ya madini 102 yanayohitajika kwenye mwili wa binadamu Kazi zake nyingi sana , kama tiba lishe, dawa na urembo yaani ngozi Kazi zake ni nini? Mwani unatumika kama kinga dhidi ya Saratani hasa ya damu Magonjwa ya moyo Kisukari Uzito kupita kiasi Tezi demu Pressure na nyingine nyingi zaidi Masuala ya ngozi Mwani wa gel yaan seamos gel inatumika kama mask katika uso kuondoa taka ngozi na kufanya ngozi yao isizeeke na kuwa imara yenye kuvutia Pia inatibu vidonda na michubuko mbalimbali kwa haraka zaidi kwa sababu mwani una asili ya chumvi Faida zake Husaidia afya ya uzazi Husaidia kupunguza uzito Husaidia kuondoa sumu mwili Inasaidia kuua virusi vya homa Husasaidia kutibu tezi dume Inasaidia kutibu vidonda kwa haraka Inasaidia kwa kuongeza kinga wanaoishi vya UKIMWI Inazuia shambulio la moyo Inazuia kuongezeka kwa seli za kansa Inasaidia kwa wagonjwa wa kansa kama kansa ya damu , damu , matiti nk Inaondoa gesi tumboni na kusafisha utumbo mpana Inasaidia afya ya uzazi kwa mwanamke na mwanaume Inasaidia kupunguza maumivu ya tumbo la hedhi Inasaidia kushusha kiwanga cha kolesto Inasaidia kusafisha damu Husaidia kupunguza uvimbe mwilini Hizi ni baadhi tu ya faidi zake zipo faida zaidi nyingi zaidi ukigoogle mnaohitaji da

FAHAMU FAIDA ZA MCHAICHAI KWA AFYA

FAHAMU FAIDA ZA MCHAICHAI KWA AFYA 1.Husaidia kusafisha figo na mkojo. Mchaichai pia una kazi ya kusafisha figo ambayo kazi yake ni kusafisha damu mwilini, kuondoa mafuta mabaya mwilini ambayo mengi yanatengenezwa na kemikali za kiwandani na hivyo mwili kushindwa kuziondoa na baadaye kusababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo Saratani na matatizo ya figo. 2.Hupunguza maumivu wakati wa hedhi, Mchaichai pia husaidia wanawake ambao wanaumwa na tumbo kipindi cha hedhi ambao wengi wao huchukulia kama chango. Unapokunywa Mchaichai unaweza kusafisha mirija ya uzazi na hivyo kuwezesha damu kupita kwa urahisi". 3.Mchaichai husaidia kutibu vidonda vya tumbo. 4.Mchaichai ni kinga dhidi ya Saratani. Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa kwenye kila gramu 100 ya Mchaichai kuna viondosha sumu ambavyo vina uwezo wa kuulinda mwili dhidi ya ugonjwa wa Saratani. 5.Hutibu magonjwa ya kuhara, husaidia mmeng'enyo wa chakula. Chai ya Mchaichai hurahisisha utaratibu wa mmeng'enyo wa chakula na pia hutibu magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo ikiwemo tumbo kujaa gesi. 6.Hurahisisha utaratibu wa kuondoa uchafu mwilini. 7.Hushusha joto la mwili pale linapokuwa limepanda, hivyo kushusha homa huku mgonjwa akiendelea na dawa.

TIBA YA MARADHI SUGU KAMA

TIBA YA MARADHI SUGU KAMA ✍️FIGO ✍️INI ✍️U.T.I ✍️MALARIA SUGU ✍️GONOREA ✍️KUSAFISHA TUMBO ✍️MOYO ✍️PRESHA ✍️KISUKARI ✍️MACHO kwa hakika maradhi haya pekee acha kuzunguka kama wewe ni muhanga wa matatizo hayo basi chakufanya chukua 👉 magome ya mti wa muegea 👉 magome ya mti wa mkuyu 👉 magome mti wa mzambarau 👉 magome ya mti wa mlonge 👉 majani ya mpera chemsha dawa hizo kwa pamoja kisha tumia kunywa mgojwa anywe mara tatu kwa siku atumie kwa muda wa siku 14 kama wewe ni mgonjwa wa kisukari basi tumia siku 31 kila baada siku saba utatengeza dawa mpya nyingine maana hii itaisha nguvu utatupa na unaanda tena kila baada siku 14 yaani ndani ya wiki neenda kapime kisukari kwa hakika dawa mujarabu kwa kuongeza kinga mwilini CD4 na damu mwilini na wale wenye ugonjwa wa macho basi hii kiboko maradhi yote hii inatibu kasoro uzee na uhai.

DAWA NZURI ZA KUSAFISHA DAMU.

DAWA NZURI ZA KUSAFISHA DAMU. Kama unasumbuliwa na tatizo la Mchafuko wa Damu Tumia Dawa zifuatazo.👇 Maranyingi Ukiwa na Tatizo la Mchafuko wa Damu basi Mwili wako utakuwa na Magonjwa mengi ya ngozi,Muwasho Na kujikuna mara kwa mara. Chukua Dawa hizi tumia kunywa Kila siku Asubuhi na jioni. MNINGA UNGA WA KOMAMANGA UNGA WA UWATU UNGA WA MAJANI YA MLONGE UNGA WA AMLA UNGA WA TANGAWIZI UNGA WA MKUMBI UNGA WA MDALASINI. Dawa Zote Hizo Changanya Kwa Pamoja Tumia kunywa Nusu Kijiko Kwenye Chai au Maji Vugu Vugu. Dawa Hizo Zitakupa matokeo Mazuri Sio Tu Kwenye Tatizo La Mchafuko wa Damu Bali utapata Faida Zingine Ikiwemo Kuongezeka Kwa Vitamin B na D Kwa Wingi pia itakupa faida hata Kwa Kusafisha Kibofu Cha Mkojo.